Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
- Thread starter
- #61
(Mwanzo 1:28 nendeni mkazae muijaze dunia) kwanini nisiwepo?Sasa assume wakina adam na wanadamu wa zaman wasingekufa wewe ungezaliwa wapi sasa Tomaa Mireni
(Mwanzo 1:28 nendeni mkazae muijaze dunia) kwanini nisiwepo?Sasa assume wakina adam na wanadamu wa zaman wasingekufa wewe ungezaliwa wapi sasa Tomaa Mireni
Asante kwa ukaribisho ila Nachofahamu Biblia inahitaji zaidi ya akili za kawaida za binadamu kuelewa tafsiri zake. Kwa lugha ya imani unayaelewa maandiko kupitia uwezo wa roho mtakatifu.Neno "biblia ni fumbo" ni upotoshaji wa shetani ili watu washindwe kuielewa, lakini ukweli ni kwamba biblia sio fumbo wala haina mafumbo na inaeleweka vizuri sana. Ukiwa tayari kujifunza bure nichek
Mungu wako yukoje?View attachment 1695994
Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?
Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Roho Mtakatifu unajuqje yupo kweli na si kamba za watu tu?Asante kwa ukaribisho ila Nachofahamu Biblia inahitaji zaidi ya akili za kawaida za binadamu kuelewa tafsiri zake. Kwa lugha ya imani unayaelewa maandiko kupitia uwezo wa roho mtakatifu.
Imani. Ni kama ulivyokuwa mtoto ukaamini utakuja kuwa baba wa watoto wa kike na kiume wakati huelewi biology behind reproduction. Au unavyoamini utaamka kesho wakati hujui mechanism behind source of life.Roho Mtakatifu unajuqje yupo kweli na si kamba za watu tu?
Ni kweli kabisa,bila roho takatifu tusingeweza kuielewa. Ila ukiwa na nia,ukaamua na utashangaa unatiririka tu na kushangaa huo ugumu uko wapi? Karibu.Asante kwa ukaribisho ila Nachofahamu Biblia inahitaji zaidi ya akili za kawaida za binadamu kuelewa tafsiri zake. Kwa lugha ya imani unayaelewa maandiko kupitia uwezo wa roho mtakatifu.
Utaona kuna mabadiliko katika uelewa wako. Ila hakikisha una nia ya kweli ya kulielewa neno la MunguRoho Mtakatifu unajuqje yupo kweli na si kamba za watu tu?
Nashukuru. Ila wakati mwingine si sasa.Ni kweli kabisa,bila roho takatifu tusingeweza kuielewa. Ila ukiwa na nia,ukaamua na utashangaa unatiririka tu na kushangaa huo ugumu uko wapi? Karibu.
Kwa hiyo nikiamini kesho nitakuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, hilo linamaanisha kesho nitakuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kweli?Imani. Ni kama ulivyokuwa mtoto ukaamini utakuja kuwa baba wa watoto wa kike na kiume wakati huelewi biology behind reproduction. Au unavyoamini utaamka kesho wakati hujui mechanism behind source of life.
Utajuaje mabadiliko hayo yametokana na kuwepo kwa Roho Mtakatifu na si kitu kingine chochote?Utaona kuna mabadiliko katika uelewa wako. Ila hakikisha una nia ya kweli ya kulielewa neno la Mungu
1. a marked change in form, nature, or appearance.Hakuna transformation yeyote mzee rejea Muh 9:5
Mungu ambae tunahubiriwa kuwa ana upendo sana,ana huruma sana na ni muweza wa kila kitu alishindwaje kuumba dunia ambayo haina shetani?Wahusika ni Adam na Hawa baada ya kudanganywa na shetani. Mfano ukikuta nguzo ya umeme imeandikwa "HATARI USIGUSE UTAKUFA" wewe ukaenda ukagusa unapigwa shoti ukafa. Pale kosa la TANESCO au kwako?
Sijui. Si ww umeamini? Unaamini ww halafu mm ndo nikuhakikishie imani yako? Imani ni suala la mtu binafsi.Kwa hiyo nikiamini kesho nitakuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, hilo linamaanisha kesho nitakuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kweli?
Ulipoanza shule ya awali ulijuaje kusoma? Ulijua mwenyewe au mwalimu alihusika? Kama mwalimu hakuhusika kwanini hukukaa nyumbani ukajua tu?Utajuaje mabadiliko hayo yametokana na kuwepo kwa Roho Mtakatifu na si kitu kingine chochote?
Sasa kama ataumba dunia mpya wewe utajuaje ubaya wa shetani? Ni lazma ampe nafasi ya kujotetea akishindwa ndio kila mtu aamini kuwa shetani hawez kuongoza watu bila MunguMungu ambae tunahubiriwa kuwa ana upendo sana,ana huruma sana na ni muweza wa kila kitu alishindwaje kuumba dunia ambayo haina shetani?