Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Sasa kama ataumba dunia mpya wewe utajuaje ubaya wa shetani? Ni lazma ampe nafasi ya kujotetea akishindwa ndio kila mtu aamini kuwa shetani hawez kuongoza watu bila Mungu
Mungu mwenye upendo lukuki,huruma lukuki pamoja na uwezo lukuki ameshindwa kutupa uwezo wa kujua kuwa shetani hawezi kuongoza bila Mungu bila ya kuwaumba hao mashetani?