Kama kijana tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?

Kama kijana tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?

Pointi ni zile zile hazijawahi kubadilika:

1. Lack of capital
2. Hostilities from neighboring societies
3. Poor infrastructures
4. Corruption
5. Natural calamities
6. Bad management and leadership
7. Lack of knowledge e.g. financial illiteracy
8. Poor work ethic
9. Witchcraft
10. Lack of moral compass

Zingine ongezea 😂
 
Wakuu, tupige stori kidogo

Hivi Kama kijana ni Tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?
Mimi Malengo yangu yanatawaliwa na aliyeniumba. Malengo yake kuhusu Mimi ndio Malengo yangu pia. Alitakalo huwa.Asilolitaka haliwi hata iweje!.

Katika yote ninamshukuru sana kwa sababu Amani na Furaha yake vyanihifadhi siku zote. Sioni kupungukiwa🙏
 
Wamama😂😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20260916-102536.png
    Screenshot_20260916-102536.png
    837.8 KB · Views: 7
Mdogo mdogo yatatimia tu japo wanga wananivuta shati wehu kabisa.
 
MSIITAJE TU MASTURBATION.

Uzinzi/Uashereti sawa.

Mnatumia pesa nyiiingi wakati mafuta ya buku tu yanaweza kumaliza haja zaidi zako zaidi ya miezi 6.
 
Back
Top Bottom