Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Kwenye Public finance ufisadi, upo iwe Ulaya, Marekani, China, African countries, vita ipo on to what extent that embesement can be torarated?
Awamu hii mmezidi kutuibia kwa kiwango kikubwa sana.

Wakati nyie mataga mkipiga zumari kwa boss wenu kuwa hajawahi kupatikana kiongozi kama yeye.
 
C.A. G mpuuzi Sana,anatumia njia ya kuchafua wengine ili abakizwe kwenye system.
Huyu ni wa kufukuza tu kwanza amekalia nafasi ya prof.Asad
Mtafukuzwa nyinyi MATAGA na majangili lkn CAG anabakia kuwa kwenye nafasi yake.
 
Msahau tu habari za jpm maana hakuna wa kumkumbuka
 
Assad alisema tilioni 1.5 matumizi yake hayajulikani hakusema zimeibwa kama alivyoulizwa na magufuli.
Ulitaka ajibu nini wakati aliulizwa swali tofauti na alichokisema? Hata hii report haijasema wizara aliyokuwa anasimamia kigwa kuna wizi wa pesa, ila imesema kuna malipo yasiyo na stakabadhi. Sasa leo umwite CAG umuulize, eti report yako inaonyesha kigwa kaiba pesa unategemea atasema ndiyo?
Ni awamu ya JPM pekee ndiyo inabishana na CAG haya hatukuyaona kipindi cha JK.
Nasemaje JK angekuwa kama JPM naye angeondoka msafi balaa
 
Elimu bure ni sera ya zamani sana ,tangu uchaguzi wa mwaka 2000 ,wapinzani walishalisema hili. Hii haiwezi kuwa hoja kwa sasa. Tafuteni namna ya kumtetea mtu wenu.
wapinzani waliisema so what, limetekelezwa lini??? Magufuli mtaweza kumchafua kupitia ripoti yenu mnayoita ya ukaguzi iliyoandaliwa kisiasa, lakini uchafu wenu ni wa muda mfupi sana, mwakani ubeti utakaokuwa unaimbwa ni "tunakumiss magufuli
 
Awamu hii mmezidi kutuibia kwa kiwango kikubwa sana.

Wakati nyie mataga mkipiga zumari kwa boss wenu kuwa hajawahi kupatikana kiongozi kama yeye.
Hii ni sababu ya matatizo yako ya kubaki na Mbunge mmoja tuu Nkasi,
Pole sana subiri 2125 siyo mbali sana japo tayari utakuwa umegeuka ugongo.
 
Jinsi mwendazake alivyokuwa anashadadia na kusimamia hayo mandege, hili lisingempita. 3.92Bn alijua walizichukua zikaenda wapi na kwa faida ya nani.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
We jamaa umechanganyikiwa. Sasa hivi CAG yupo huru kuyaanika madudu ya mwendazake
 
Nadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.
CAG mpya ananipa ukakasi sana sijui Kwanini.nilitegemea wangemrudisha Prof Assad.

Hivi si ndo hawa viongozi waliokuwepo enzi za uongozi wa The Late Magufuli na ndo hawa hawa wanaosema kuwa kuna ufisadi uliotukuka enzi za marehemu???

Haki siasa na unafiki ni damu moja.kha
 
Kumbe ulikuwa na akili za kushikiwa.
Wewe "Mnyonge" ujasili wako umekuwa na tija gani kwa taifa?
Stupid! Unategemea mtu akupe ujasiri badala ya wewe mwenyewe kutafuta maarifa ya kukupa huo ujasili.
Kweli wewe bichwa kubwa akili kisoda. Mnyonge maana yake ni mtu asienasauti kwenye mammlaka. Mnyonge ni raia ambae hashirikishwi kwenye maamuzi moja kwa moja.
Mnyonge ni yule anaetegemea wakubwa waamue ili yeye apate haki.
Wewe usie mnyonge umeamuakipi kwenye taifa hili zaidi yakubwabwaja baada yakuisikia ripoti ya mkubwa MKAGUZI MKUU?
Pumbavu wa hedi!
 
Hatareeee...
 
Hii ni sababu ya matatizo yako ya kubaki na Mbunge mmoja tuu Nkasi,
Pole sana subiri 2125 siyo mbali sana japo tayari utakuwa umegeuka ugongo.
Nampongeza sana CAG kwa kuwa imara na kuweka wazi uozo uliokuwa unafanywa kwenye miradi ya watanzania.

Mmekwiba sana
 
C.A. G mpuuzi Sana,anatumia njia ya kuchafua wengine ili abakizwe kwenye system.
Huyu ni wa kufukuza tu kwanza amekalia nafasi ya prof.Asad
Ämetoa report ya kisiasa sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…