Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Awamu hii mmezidi kutuibia kwa kiwango kikubwa sana.Kwenye Public finance ufisadi, upo iwe Ulaya, Marekani, China, African countries, vita ipo on to what extent that embesement can be torarated?
Wakati nyie mataga mkipiga zumari kwa boss wenu kuwa hajawahi kupatikana kiongozi kama yeye.