Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Rais wa sasa alikuwa msaidizi namba mbili wa rais hawezi kukwepa yaliyomo kwenye hii ripoti kwa sababu naye alikuwa sehemu ya serikali
 
C.A. G mpuuzi Sana,anatumia njia ya kuchafua wengine ili abakizwe kwenye system.
Huyu ni wa kufukuza tu kwanza amekalia nafasi ya prof.Asad
Kumbuka ni mwanafunzi wa prof Asad na prof alisema hana wasi wasi naye!
 
Kubalinini matokeo kuwa sasa hamna tena sehemu ya kwenda kuuza umbeya na unafiki.

Mama yetu Samia hana muda na wachawi kama nyinyi MATAGA.
Mama Samia ni ccm na anakwenda kuwa mwenyekiti wa ccm, soon mtaanza kumponda madongo, tunawajua na tumewazoea.CCM ni nambari one Afrika, ndiyo maana tukiwaambia hamuwezi na hamna mikakati ku deal na ccm mnabisha.
 
Mkuu serikalini ukishafanya matumizi ya fedha bila kufuata taratibu za manunuzi zilizopo kisheria, huo ni mwanya mkubwa wa upigaji. Ukisoma Ripoti ya CAG upotevu mkubwa wa fedha za umma umetokana na mwanya huo.
Hakuna Tender, hakuna Tender evaluation, Contract negotiations hakuna, Contracts hakuna, certificate hakuna wala risiti. Ni maagizo tu, matokeo yake ukiagiza watoe bilioni moja wao wanatoa bilioni 3.
Au unakuta client pia ni consultant na pengine pia ni contractor pia, kwa tu ni taasisi ya serikali.
Pamoja na urasimu hizi taratibu za kibajeti na manunuzi zinasaidia sana kudhibiti ubadhirifu.
 
Mama Samia ni ccm na anakwenda kuwa mwenyekiti wa ccm, soon mtaanza kumponda madongo, tunawajua na tumewazoea.CCM ni nambari one Afrika, ndiyo maana tukiwaambia hamuwezi na hamna mikakati ku deal na ccm mnabisha.
Ccm nambari moja Afrika kwa kuiba na kufisadi matrillioni ya fedha za watanzania.

Kumbe mradi wa kununua madege ilikuwa ni njia ya upigaji.

CAG amesema kabisa kuwa midege haiwezi kuruka kwenda nje ya bara la Afrika maana zitakamatwa
 
Nadhani unatambua kwamba ya kwako ni “minority thinking [emoji189].” Wewe nakuona sana hapa JF, kila kitu unaangalia kishabiki bila facts, hata kama unamchukia vipi hayati JPM, hivi ni kweli hakuna la kukumbuka katika aliyofanya??
Labda ufisadi kushamili kwa speed ya ajabu kwa mjibu wa CAG
 
Mwana kijiji na we kaandae ripoti yako kumpinga Cag full stop. Write your reply...
Absolutely, alete maelezo ya tamasha la Kigwangala na EFD receipts, atuonyeshe ile ndege iliyofanyiwa ukarabati wa 3.92Bn ikiwa inaruka na kufanya safari, atuonyeshe magari ya wizara yaliyonunuliwa, ambayo kwenye makaratasi pesa zimetoka, ila wizarani magari hayajafika.n.k.

Issue ni jinsi mwendazake alivyokuwa anajipambanua na wapambe wake kuwa alikuwa perfect, utawala wake hauna ufisadi kama watangulizi wake, yako wapi, tena wamekuwa wanajipigia Bilions zamani ilikuwa mamilioni.

Ooh Rais wa wanyonge, ooh tumeibiwa sana, kumbe naye alikuwa na kiu kama wenzake, ELSE mikataba ingewekwa waziwazi, tuione, siyo yeye tu na Kabudi waisome.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Ccm nambari moja Afrika kwa kuiba na kufisadi matrillioni ya fedha za watanzania.

Kumbe mradi wa kununua madege ilikuwa ni njia ya upigaji.

CAG amesema kabisa kuwa midege haiwezi kuruka kwenda nje ya bara la Afrika maana zitakamatwa
Mwenda zake hakutumia akili kabisa aisee!
 
Majizi wakubwa na waramba miguu kama wewe kazi yenu ikiwa kupiga zumari.

Mabillion kibao mmekwapua sasa subirini mama Samia awatupe segerea ili mkasege dance
Hiyo ni pipe dream, pesa lazima ishugulikiwe. Tumekuwa Chadema miaka 20 njaa inatuua , tubaki hapo hapo kama wewe mmawia ili tuwe tunalalamika kila kukicha ? Na hata mama Samia kwenye Ufalme wake tunae.
 
Kuwa karibu na mama Samia hilo msahau maana tayari tushampatia watu hatarishi kwenye utawala wake na anawajua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…