Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Mkuu hiyo Number 4 ina implications kubwa sana. Naona Sustainability ya flow ya Maji ni issue!
 
Na kwakweli wanathibitisha kauli yake kuwa sisi ni matajiri na donor country, kama yeye anaweza kuchota matrilions na bado akafanya wonders hizi sisi ni akina nani sasa?
Uko na akili nyingi mno kama Magufu ni Fisadi papa na kibaka na mwizi wa kutupwa aliyekwapua hiyo mipesa Yote CAG aliyoitaja na bado akafanya hayo aliyofanya nchi nzima nchi hii ni tajiri mno maana kaiba weee na bado change ikabaki ya kuweka miradi ya maendeleo na ya jamii na miundo mbinu nchi nzima nchi hii ina utajiri mkubwa .I salute Magufuli he was right Tanzania Tajiri ushahid Ripoti yac CAG anasema zilikwapuliwa na wananchi tunasema matumizi tuliyaona maeneo tunayoishi

Challenge kwa serikali iliyopo nchi yetu tajiri nyie mliopo tunatarajia mtafanya makubwa kuliko fisadi mkubwa na kibaka Magufuli kwenye Miradi na huduma za jamii sababu mtabana wizi wa pesa kwenye nchi yetu tajiri
 
Ajenda gani?? Mshenzi wenu angekuwa msafi asingemtoa kwenye cheo chake Prof Assad. Ile ni ishara tosha hakuwa msafi na ni mchafu kuliko kiongozi yeyote kuwai tokea Tanzania
Hawa ndo waliodiriki kumuita jiwe mungu walitukuza walisadiki na kumuabudu
 
Mkuu mlituaminisha ufisadi umeisha mpaka mkadai wapinzani wameishiwa ajenda maana hamna wizi tena serikalini.

Mlidai mahakama ya mafisadi ilikua haina kesi maana wizi umedhibitiwa. Sasa mnadhani credibility ipo tena.

Kingine fahamu JPM alikua anakopa na ndio maana pato la mwezi almost trillion 1 iliishia kwenye mishahara na kuserevice madeni na overlapping interest rates!! Sasa kma Mama samia akikopa pia atashindwa nini? Si unakopa tu maadam hujafika 56% ya GDP!!

Issue sio mambo yanayoonekana issue ni sustainability mfano Nyerere dam kumbe haina sustainability plan, Ndege kumbe ni hasara, TGFA kumbe ni liability, sasa issue ni kujenga tu au faida yake kurudi?

Yaani hata angejenga daraja hadi zanzibar kama ni hasara hamna shida ilimradi linaonekana ni daraja? Hvi reasoning zetu zina shida gani
 
Kuna kikundi kiko nyuma ya hili jambo ndiyo hicho kiko highly likely kilihusika na kifo cha hayati Magufuli. Ukiona bandari ya Bagamoyo inarudi kwa kasi, jua ile ccm ya wapigaji inataka kurudi kwa kasi sana.
 
Kichele na Pro Assad ripoti zao hazipishani .. Assad alizimwa (umesahau)

Wewe unataka Tujadili siasa au..?

Tumuamini nani BUNGE, CAG, WAZIRI, SPIKA au RAIS..?

Hivi mnapata wapi muda wa kutetea wizi na upotevu wa kodi zetu?
kwa maelezo ya mdau anatuhusia tusiamini maneno ya mtu yeyote yule, bali tujitafutie maarifa sisi wenyewe bila kuletewa na mtu

Kwa point hiyo hata hayo maneno yake yanapaswa kupuuzwa maana kuyakubali ni kurudia kosa ambalo amesisitiza
 
H
Huwezi kuwa na mapenzi ya aina hiyo huo ni UNAFIKI kwenye UKWELI usemwe UKWELI!
 
Tafadhali sana usipende kudanganya watu kuhusu utajiri wa Magufuli kwa watu wanaokijua vyema, tafadhali sana ndugu yangu.
Haya ni majengo yaliyopo nyumbani kwa Marehemu Magufuli hapo kilimani Chato.

Nyumba ya vyumba viwili - yapo 14
Nyumba ya vyumba vitatu -yapo 9
Nyumba zinzotumika kama jiko..stoo..na sehemu ya kulia chakula (ukumbi) yapo 4
Nyumba ya mbili na kila moja na ghorofa 2, alizifanya kama Ikulu.
Nyumba nne na kila moja ni ghorofa 3, alizifanya kama hoteli.
Kanisa moja
Nyumba zote hizi zipo ndani fensi moja.
Samahani sana ndugu, Marehemu alikua fisadi kama mafisadi wengine.. hapo nimegusia tu hapo Mlimani Chato, bado Nyabirezi, Karagwe, Mwanza, Dodoma na Dar.
R.I.P Mpendwa wetu.
 
Kweli leo ndio nimeamini we kweli mwanakijiji
 
Daaa wewe mzee hii nilikuwa sifahamu daaa myonge kama mimi nipo Dumila nashangilia Mzee anakula mahindi ya kuchoma huku tunashangilia daaah.
 
Uchaguzi Uitishwe
Serikali ivunjwe
Wale wale wa kusifu na kuabudu Wale Wale wa Kukosoa Leo
Wapinzani Wananchi au niseme WaTz ni bendera mfuata upepo
Walioko Bungeni ni hasara tupu
Mambumbumbu wamekuwa wengi
Wote ni wezi period!

*Mkuu on a serious note - Kwani hukujua hii miradi mikubwa kwa mpigo italeta shida? Haraka ilikuwa ya nini? Mshika mawili moja humponyoka
Mwendazake aliambiwa alilokuwa anataka kusikia matokeo yake ni haya
Utawala mzima umeoza
 
Kama madudu yanakuwepo kila awamu kwanini aliweka kizuizi kuyaongelea?

Kwanini waliothubutu kuyaongelea madudu ya utawala wake aliwageuza kua maadui zake kuwateka, kuwaua, kuwajeruhi, na wengine kufanyiwa njama waondoke kwenye vyeo vyao ili wasipate hiyo access?
 
Member wengi wa jukwaa la siasa wamekariri majina ya member. Hawasomi Wana like tu bila kujua kuwa hata Mzee Mwanakijiji muda mwingine hupost thread akiwa na stress au kalewa.
Ni mpumbavu au msukuma pekee anaueweza kuamini serikali ya Mwendazake haikuwa ya kifisadi Kwa kiwango kilichoripotiwa na CAG.

Hapo bado CAG hajatia neno kuhusu Chato international airport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…