Na hii ndio shida yenu mnaona waTZ wajinga sana..... Eti kikundi kimelipwa? Kwamba hakuna mtu mwenye uwezo wa kukosoa au kufikiri mpaka alipwe? Hvi CCM mnajiona mnamiliki mawazo yetu kisa propaganda zenu.
1. JPM 2019 alidai ATCL imeingiza mabillion hadi ikatoa gawio sasa leo watu wakiona hasara miaka 5 yote wasicharuke
2. SGR haikukaguliwa sasa leo imegundulika ndani ya 35% za pesa iliyolipwa ilitumia infkated exchange rate na haikua ya siku ya malipo wala ya BOT. Rate ya benki za kibiashara. Sasa hya tungejua bila CAG?
3. Tunaambiwa SGR wafanyakazi wa kigeni hawakuwa na vibali hivyo kukosesha nchi mabillion ya fedha. Furthermore interest rate ilikua inakua kubwa kutokana na fedha kucheleweshwa makusudi.
4. Nyerere Dam ilitumia feasibility/EIA ya mwaka 70 na 80 ila haikufanyila harmonisation kwa standards na sheria za Tanzania za sasa ikiwemo sustainability ya flow ya maji kwa miaka tajwa. Haya yangejulikana lini kama sio CAG kutufungu macho?
5. TGFA iliwahi kukaguliwa? Imegundulika na wao ni liability na hakuna mwenye utaalam na uzoefu kwenye aviation industry. Hya tungeyajua bila CAG?
Kilicho pelekea haya yote ni TRANSPARENCY kutoweka. Kama mambo yangekuwa wazi unadhani kuna mtu angeshtuka? so sad
Mzee Mwanakijiji nao wanageuka conspiracy theorists wkt facts zipo mezani