Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Mkuu tena walikuwa hawamjui JPM kabisaaa!
Lile jengo pale la Kebby's litamsuta legacy yake, hakuwa msafi.
Alilijenga alipokuwa Waziri wa Ujenzi, pesa alipata wapi?
Na kwa biashara ipi, huyu mtetezi wa wanyonge!!

mzee jengo lile hata wewe unaweza kuwa nalo bana

acha kujidharau

JPM angekuwa mwizi angekuwa tajiri kuliko mtu yeyote nchi hii



Labda kama haujui wizara ya ujenzj ina hela kiasi gani
 
mzee jengo lile hata wewe unaweza kuwa nalo bana

acha kujidharau

JPM angekuwa mwizi angekuwa tajiri kuliko mtu yeyote nchi hii



Labda kama haujui wizara ya ujenzj ina hela kiasi gani

sio kweli ni vita vya kumpakaza matope haiwezekani yote aliyoyafanya makufuli ni hasara.(AKILI ZA KUAMBIWA ONGEZA NA ZA KWAKO)
 
Ni Kassim na Mpango tu ndo wazalendo wa kweli,mama na Kikwete wamehusika sana kwa demise ya mwendazake,hakuna haja ya kulia sana,tusonge mbele kwa kushukuru kwa kila jambo
 
Mbaya zaidi huyu CAG mwenye sura mbaya alibebwa sana na Magu
 
Ninachikiona hapa nchini kwa sasa ni kurudi tulikotoka! Enzi za Siasa za Unafiki na uongo kwa manufaa binafsi! Nakubaliana na wewe kuwa kama ufisadi ulikuwa mkubwa kiasi hicho basi mawaziri wote na Rais wajiuzulu kwa vile walikuwa washauri na watekelezaji wa maagizo ya Rais! yet alichokifanya Magu kwa nchi hii hakiwezi kufutika. Numbers never lie.
 

mara moja wajiuzulu
 
kwani wewe mama yako mzazi huwa anasimamaga wakt wakukojoa?

huyo ambaye siyo mnafik na mzalendo, CAG anasemaje juu ya utawala wake?
Yaache Mataga yamevurugwa
 
Ni note kitu kwamba ufisadi kama huu ungelikuwa unafanyika tokea kipindi cha Mkapa hadi JK basi Tanzania ingekuwa mbali sana.
Unajiaibisha kwa kuendelea kutetea ufisadi na wizi
 
Sasa ieleweke kwako kwamba JPM alililiwa na taifa zima, na bara zima la Afrika. Huyu si mtu wa kumfuta kirahisi.
Nisikufiche.. kifo chake kimenigusa sana kwamba bora amekufa.

Bunge yeye
Mahakama yeye
Katiba yeye
Daktari yeye
Tume yeye
CCTV yeye
Kuua yeye
Kuteka yeye
Uongo yeye
Mshauri yeye
Mtawala yeye
Mpinzani yeye
Paroko yeye
Jini yeye
Kila kitu ni yeye.. basi kubalini na wizi ni Yeye.
 
Nawaona chato gang mkijifariji kwa ujinga wenu. Tulikwambia uache umalaya wa kisiasa kumsupport mtu kwa sababu tu msukuma mwenzako alafu ukabisha. Kiko wapi sasa?? Magufuli alikuwa jizi na fedhuli kuliko kiongozi yeyote kuwai kutokea Tanzania
But kumbuka Lake Zone tuna numbers
 
Nisikufiche.. kifo chake kimenigusa sana kwamba bora amekufa.

Bunge yeye
Mahakama yeye
Katiba yeye
Daktari yeye
Mshauri yeye
Mtawala yeye
Mpinzani yeye
Paroko yeye
Jini yeye
Kila kitu ni yeye.. basi kubalini na wizi ni Yeye.
Na ndio maana hatafutika kirahisi hata mkitaka kwa sababu ni Yeye.
 
Nadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad; alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.
Sidhani ni yeye kasahau, ni umma wa wa Tanzania leo kama vile hapajawahi kuwa na CAG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…