Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Anasahau kuwa tulioko huku mitandaoni ndo tulioko huku mitaani!Watu wanashangaa ATCL kupata hasara wakati waliambiwa shirika linaingiza faida.
Tena linatoa hadi gawio.. Wewe ni mgeni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasahau kuwa tulioko huku mitandaoni ndo tulioko huku mitaani!Watu wanashangaa ATCL kupata hasara wakati waliambiwa shirika linaingiza faida.
Tena linatoa hadi gawio.. Wewe ni mgeni?
Mkuu tena walikuwa hawamjui JPM kabisaaa!
Lile jengo pale la Kebby's litamsuta legacy yake, hakuwa msafi.
Alilijenga alipokuwa Waziri wa Ujenzi, pesa alipata wapi?
Na kwa biashara ipi, huyu mtetezi wa wanyonge!!
mzee jengo lile hata wewe unaweza kuwa nalo bana
acha kujidharau
JPM angekuwa mwizi angekuwa tajiri kuliko mtu yeyote nchi hii
Labda kama haujui wizara ya ujenzj ina hela kiasi gani
Ni Kassim na Mpango tu ndo wazalendo wa kweli,mama na Kikwete wamehusika sana kwa demise ya mwendazake,hakuna haja ya kulia sana,tusonge mbele kwa kushukuru kwa kila jamboNa. M. M. Mwanakijiji
Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli.
Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea.
Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.
Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.
Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufisadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.
Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.
Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Mbaya zaidi huyu CAG mwenye sura mbaya alibebwa sana na MaguSGR, Rufiji Dam ni picha tu zile🤣
CAG kaamua kishabiki kusema bila aibu akiwa na watendaji wale wale, akitaka kujikomba kwa mama kumbe anachotwa akili!
wa kujiuzulu sio PM tu hata Rais!
Hakuna namna watamzima kirais JPM, he is here to stay with us for long long time
Kwa sasa hivi mataga wamevurugwa vya kutosha.Wapinzani wanahusika vp na ripot ya CAG? Mbona mnashindwa kuficha ujinga wenu?
Ninachikiona hapa nchini kwa sasa ni kurudi tulikotoka! Enzi za Siasa za Unafiki na uongo kwa manufaa binafsi! Nakubaliana na wewe kuwa kama ufisadi ulikuwa mkubwa kiasi hicho basi mawaziri wote na Rais wajiuzulu kwa vile walikuwa washauri na watekelezaji wa maagizo ya Rais! yet alichokifanya Magu kwa nchi hii hakiwezi kufutika. Numbers never lie.
Hakika mimi kwa muda wa siku tatu baada ya mama Samaia kuapishwa tayari nimenenepa kwa kilo 4Sasa nyie kila CAG anayeandika uozo mnamuona hafai, Prof Assad alivyosema Magufuli ameiba trillion 1.5 mlimuona hafai! Idiots!
Naona umechanganyikiwa hadi kuandika unashindwaHata mitihano watu huwa wanafeli unafikiri huwa wanajitakia hapana huwa hawaelewi kama wewe ambavyo hujaelewa.
Yaache Mataga yamevurugwakwani wewe mama yako mzazi huwa anasimamaga wakt wakukojoa?
huyo ambaye siyo mnafik na mzalendo, CAG anasemaje juu ya utawala wake?
Unajiaibisha kwa kuendelea kutetea ufisadi na wiziNi note kitu kwamba ufisadi kama huu ungelikuwa unafanyika tokea kipindi cha Mkapa hadi JK basi Tanzania ingekuwa mbali sana.
Nisikufiche.. kifo chake kimenigusa sana kwamba bora amekufa.Sasa ieleweke kwako kwamba JPM alililiwa na taifa zima, na bara zima la Afrika. Huyu si mtu wa kumfuta kirahisi.
But kumbuka Lake Zone tuna numbersNawaona chato gang mkijifariji kwa ujinga wenu. Tulikwambia uache umalaya wa kisiasa kumsupport mtu kwa sababu tu msukuma mwenzako alafu ukabisha. Kiko wapi sasa?? Magufuli alikuwa jizi na fedhuli kuliko kiongozi yeyote kuwai kutokea Tanzania
Namba gani??? Na kwa ushenzi wenu mliotuonyesha kwa miaka 6 tu sahauni kutoa Raisi Tanzania hadi ipite miaka 1000But kumbuka Lake Zone tuna numbers
NOKWA TUME ILE ILE YA UCHAGUZI?
View attachment 1747309
Na ndio maana hatafutika kirahisi hata mkitaka kwa sababu ni Yeye.Nisikufiche.. kifo chake kimenigusa sana kwamba bora amekufa.
Bunge yeye
Mahakama yeye
Katiba yeye
Daktari yeye
Mshauri yeye
Mtawala yeye
Mpinzani yeye
Paroko yeye
Jini yeye
Kila kitu ni yeye.. basi kubalini na wizi ni Yeye.
Sidhani ni yeye kasahau, ni umma wa wa Tanzania leo kama vile hapajawahi kuwa na CAGNadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad; alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.