Waliondoka lini?Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
Taja unamwamini naniBinafsi huyu CAG simuamini kamwe...
TajaWapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
Pamoja na wizi wote huu kweli ujinga mzigoSGR, Rufiji Dam ni picha tu zile....[emoji1787]
CAG kaamua kishabiki kusema bila aibu akiwa na watendaji wale wale....akitaka kujikomba kwa mama kumbe anachotwa akili!
wa kujiuzulu sio PM tu hata Rais!!!!
Hakuna namna watamzima kirais JPM, he is here to stay with us for long long time
Kichele na Pro Assad ripoti zao hazipishani .. Assad alizimwa (umesahau)Kama mtu unaelewa unajua tu zile ni politics, hakuna namna atcl itapata faida. Hilo la kwanza.
La pili, atcl isibgeweza kupata faida kwa sababu ina madeni makubwa sana ya huko nyuma, yana riba kubwa hivyo hakuna uwezekano wa kupata faida.
Namba 3, sheria ya mapato ghafi inataka kila shirika lichangie kidogo kwenye mfuko mkuu wa serikali kutoka kwenye mapato yake ghafi kwa serikali, hiyo ndio wanaiita gawio ingawa in real sense sio gawio ni mchango.
Mwisho, usisubiri kila kitu uambiwe, utaishia kudanganywa na siku ukiujua ukweli utaumia na utakua disappointed. Jitahidi kupata taarifa zako kwanza na bahati nzuri taarifa nyingi ziko publicly available sema hatuzitafti tunasubiri tuletewe.
Jadilianeni na mtete miradi yenu ya wizi wenyeweMkuu mwanakijiji umewaza peke yako hiki ulichoandika kwa watu wengi wamebebwa na mdundiko hawawezi kukuelewa lakini ni point kali sana!
Wenye akili kubwa tu ndo wanaweza kumuelewa huyu jamaa,ameandika kitu cha maana Sana.Nimesoma lakini sijaelewa unataka kufikisha ujumbe gani.
Si alikuwa anapokea faida hadharani anigiza anapta gawio au sie huyuUkisoma mitandao ya kijamii hasa twitter utafikiri kweli hii nchi imeibiwa kila kitu na hakuna kitu kimeachwa, kumbe sio kweli.
Watu wanajifanya kushangaa ATCL kupata hasara, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kushangaa atcl kupata hasara? By the way, ni shirika gani la serikali linalopata faida? Lipi? Mashirika yote ni hasara kila mwaka kuanzia Tanesco, TPDC, TTCL, ATCL, NHC na mengine yote, kwa nini shida iwe kwa ATCL?
Halafu watu wanataka kusema Magufuli ange eliminate rushwa ama wizi wa mali za umma 100%, hilo jambo halipo Duniani. Duniani kote, kuanzia China ambapo kosa la rushwa unaweza kuuwawa ama Marekani ambapo mifumo iko strong bado watu wanaiba na kula rushwa, tusimsingizie Magufuli kwa kila kitu.
Kuna kikundi ama kingenge cha wahuni sijui kinalipwa na nani kutaka kumchafua Magufuli na report ya cag
Na. M. M. Mwanakijiji
Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.
Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.
Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.
Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.
Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Nilisema baada ys Magufuli kutokuwepo ufisadi kurudi upya kwa kasi ya 5G ripoti Mkaguzi Mkuu ni changa la moto kuandaa njia kwenda huko. Katiba Mpya sasa ndiyo suluhisho if they are seriuos.Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
Hakuna mradi wowote chini ya Jpm. Miradi yote ni ya JK.
Hizi habari mlipaswa kumwambia jamaa yenu kabla hajafa maana aliwahakikisha watu kwamba niheri Mtu apotee kuliko Hela ya SerikaliUkisoma mitandao ya kijamii hasa twitter utafikiri kweli hii nchi imeibiwa kila kitu na hakuna kitu kimeachwa, kumbe sio kweli.
Watu wanajifanya kushangaa ATCL kupata hasara, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kushangaa atcl kupata hasara? By the way, ni shirika gani la serikali linalopata faida? Lipi? Mashirika yote ni hasara kila mwaka kuanzia Tanesco, TPDC, TTCL, ATCL, NHC na mengine yote, kwa nini shida iwe kwa ATCL?
Halafu watu wanataka kusema Magufuli ange eliminate rushwa ama wizi wa mali za umma 100%, hilo jambo halipo Duniani. Duniani kote, kuanzia China ambapo kosa la rushwa unaweza kuuwawa ama Marekani ambapo mifumo iko strong bado watu wanaiba na kula rushwa, tusimsingizie Magufuli kwa kila kitu.
Kuna kikundi ama kingenge cha wahuni sijui kinalipwa na nani kutaka kumchafua Magufuli na report ya cag
Wewe ni CCM JPM husijifanye mpinzani Mzee MM.Upinzani uko kwenye damu yangu; ila sasa hivi naona kama umepotea maana sijui ni nani amebakia upinzani kweli. Labda tuunde upya kabisa... maana upinzani umekubali jukumu lisilo lao...
Yeye aliwakaribisha chato walikuja kutia mkataba wa niniUkitaka kujua motive zao jaribu kufikiria waliposimamia, mama Samia anatuambia hata madini adimu ambayo mwenda zake aliyaangalia Kwa wivu wa kupindukia tuwaachie waje tu wachimbe, Ndugai anasema Kwa SGR wajichange wabunge walete hayo mabehewa, mchina tunaejua anavyofuonza damu aje tu ajenge Bagamoyo. Hapo mie naamini hawa ni majambazi walio na agenda zao Ila muda utaongea
Hakuna mradi wowote chini ya Jpm. Miradi yote ni ya JK.
Ndugai sijawahi kumkubali tangu akiwa Naibu spika,jinga tu lile jamaa.Huyu mother anaonekana ni mtu asiye na msimamo,ni km vile anaenda na upepo tuna Hatari kubwa Sana tusipojiangalia.Mujimu hapa tupige magoti tuombe Mungu atusaidie ili Taifa letu libaki salama.Usimwamini NDUNGAI MNAFIKI na huyu Mama ambae hana anachojua zaidi ya mipasho na taarab
Akikujibu naomba nami uniite nimsomeMwandishi ni kama vile hutaki kuamini kuwa Magufuli alikuwa fisadi namba moja wa Tanzania katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ripoti rasmi za kiuchunguzi wa pesa (CAG) za sasa zinaonyesha hivyo. Ni upigaji mtupu.
Kwanini ushangae hilo sasa wakati wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakiyasema hayo kwa miaka mitano yote?
Ni akina nani waliohoji upotezi wa Trilioni 1.5 zilizotajwa na Professor Assad?
Kwanini Professor Assad alifukuzwa kimizengwe?
Kwanini vyombo vya habari vilizibwa midomo?
Kwanini wapinzani walipotezwa, kununuliwa, kuteswa na kuuwawa?
Kwanini wapinzani walinyimwa fursa ya kufanya siasa, kushika ikulu, kuingia bungeni, kutawala serikali za mitaa au mabaraza ya halmashauri ?
Kwanini genge la Magufuli lilikuwa likiratibu utawala wa Magufuli udumu milele?
Kwanini tender zote za miradi mikubwa ziwe siri ya Magufuli na ikulu tu?
Kwanini genge la Magufuli lilitaka kupindisha mambo kwa gharama yoyote ili kukamata kiti cha urais hata baada ya Magufuli kuwa mahututi/kufariki dunia?
Ukweli unaweza kuchelewa kujionyesha, lakini muda utaufunua ukweli wote. Muda umefika sasa kwa utawala wote wa Magufuli kupimwa upya. Tusiogope kusema ukweli hata kama ukweli huo utatufedhehesha baadhi yetu.