Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Rais alikua na nafasi ya kuchagua viongozi wapya, lakini yeye karudisha wale wale. Shida tayari inaanza hapo. Kazi kwelikweli
 
Kumbe ndiyo maana Mwenyezi Mungu aliamua kumtwaa, yaani kwa jinsi alivyo shiriki kutuibia adi inatia hasira huku akituaminisha kuwa sisi wanyonge, sijui chapeni kazi
 
Mnajitahidi sana kusafisha kibwetere wenu hasafishiki nankosa kubwa alilo fanya ni kuziba watu midomo hivuo mambo yalijikusanya sana

Kazi kufanyika sio tija na huwezi kuaminisha watu wenye akili eti wasihoji wizi wake kisa tu kazi inaoneka huilo ni ujinga

Hata enzi za kikwete kazi zilionekana lakini bado ufisadi uliibuliwa na watu waliwajibishwa na kazi zilionekaka

Kikwete katekeleza miradi mingi sanabkuliko magufuli, miradi mingi ya magufuli ni white elephat nilikuwa natembelea SGR kumbe mambo bado kabisaaaa tofauti kabisa na tulivyo kuwa tunaaminishwa lakini mtu anataka asifike utadhani mradi umekamilika
SIFA ZILIZIDI MNO
 
Magufuli ameyataka Mwenyewe... Na hili liwe fundisho kwa viongozi wajao..

Alipinga na aliiua DEMOKRASIA nchini makusudi..
Aliuwa uhuru wa kutoa maoni..
Alipinga haki ya kidemocrasia ya kukusanyika..kuhabarishana na kupinga...
Aliuwa upinzani kwa nguvu zake zotee... Alinunuwa wabunge wa Upinzani kwa gharama kubwa....
Alifungia vyombo vya habari...magazeti yote aliyohisi ni kinyume nae...
Ktk serikali tumeshuhudia watu wakipotea...wakipigwa risasi...wakiuawa mchana kweupe.

Sasa baada ya kufanya hayo.. Wapinzani wamuachia Nchi yake..media ikamuachia nchi yake.. Ikabaki ni nchi ya kusema kile tuu...kiile tu kinachompendeza yeye.

Upuuzi upuuzi upuuzi....
Sasa yanaibuka.Wajanja wakawa bize kusifu na kuabudu kumbe wanapiga wanaiba wanamdanganya.

Na bado hatujasikia kitu. Bado Lissu hajaongea... Bado Mbowe hajaongea.

JK aliitwa Dhaifu kwa sababu tulifahamu na aliruuhusu watu waseme..waandamane..waongeee.wampinge..wamtusi..

Sasa Magufuli na Avune Alichopanda. Nilianza kumuonea huruma. Ila nimelala nimeamka na akili mpya.

FUNDISHO KWA MAMA SAMIA SULUHU...


Dont ever everrr follow the steps of your predecessor.
 
Mikopo kutoka kwa mabeberu inatumika huko. Hela za ndani zinatafunwa na wenye meno.
 
Leo kaandika vizuri sana mkuu.Soma tena utamuelewa.

Hapana, wewe hujamwelewa lengo lake.

Kwamba anakubaliana na wanaouliza kama CAG aliandaa report tofauti na hii kwa ajili ya Magu?

Kwamba hii report ya CAG ime-overstate weaknesses ili kuharibu legacy ya Magu?

Kuna mpinzani yeyote ambaye amewahi kusema flyovers (madaraja) hayajajengwa? Hospital hazijajengwa?
 

Kuna point ya kumsafisha Magu ambayo hujaiona Mkuu.

Anyway, kazi ya fasihi siyo lazima wote tuelewe sawa.
 
Mikopo kutoka kwa mabeberu na pesa za mifuko ya pensheni zimetumika sana katika miradi hiyo huku tukiimbishwa tunajenga kwa pesa zetu za ndani ambazo wenye meno walikuwa wanaendelea kuzitafuna.
 
Rais JPM hakutaka kufanya kazi na watu makini ambao ndo wangekuwa na wajibu wa dhati kumsaidia kiukweli sio hawa wakina Majaliwa,Ndugai nk ambao wengi wao walikuwa wanafiki wapenda cheo na kujali matumbo yao.

Mtu kama prof Assad alikuwa right person kufanya kazi na JPM bega kwa bega ila kilicho tokea sote tunafahamu"mwenye macho haambiwi tazama"

Leo imekuwa tofauti walio kuwa wanampamba rais JPM ndo wamegeuka na kuwa wakosoaji wake wakubwa.kuna vitu kadhaa vya kujiuliza kwanza

Je,angekuwepo hai JPM mwenyewe CAG angetoa ripoti hii??

Je,Mama hakuwa sehemu ya utawala ambao leo unalalamikiwa kuwa na ufisadi mkubwa?

Miradi iliyofanywa na JPM totally ni makosa? Na mibaya?
 
Siku zote watu ukiwabana sana na kutaka wafanye utakacho watakuwa wanifiki tu kwako na siku ukiyakosa hayo madaraka wataanza kuyafunua maovu yako maana hawakuigopi tena na hauna cha kuwafanya.
 
Andiko lako ni la kiwango cha chini mno, CAG kaja facts wewe unakuja na sentiment. Hadithi yako ingekua na maana kama ungetoa vielelezo dhidi ya hayo,
Kuwa Atcl haikulipa 3.6 b kwa ajili ya matengenezo ya ndege iliyotelekezwa toka 2015
Kuwa tamasha la urithi lilikua na matumizi halali
Kuwa atcl ni kweli inapata faida sio hasara
Kuwa wafanyakazi wote wa kigeni sgr wana vibali vya kazi na vimelipiwa
Kuwa sgr haitumii feasibility study ya 1970's n.k
Vinginevyo tuache ku undermine taasisi muhimu kama CAG ambayo inatusaidia kuboresha taratibu zetu za manunuzi na malipo serikalini.
 
Well said mkuu,
Niliwaza pia kitu hiki.
Ni dhahiri kwamba kwa usahihi wa mambo haya , serikali ya sasa hawapaswi kuendelea kuwepo madarakani.
Acha waendelee kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
 
Hawatakuelewa, watu wako bize kummezea mate mlegeza macho kwa udini. Wanapiga nae pambio mnafiki namba moja wa taifa, limbukeni wa madaraka mkojoa kwa kukaa yule. Bullshit.
Nasikia harufu ya maslahi ya mtu yamepigwa dole hapa.
 
Se

Sema tu kelele zilikuwa nyingi. Jk alifanya Mambo makubwa kimyakimya.
Si ungeweka reference? Lile Bomba la mafuta ya pesa ya China, na mkwewe Albert kuchukua USD 25million? Fight the system not the individuals. Kwa hiyo kwako wewe mama Mipasho mzuri na Jk mzuri au siyo? All those are the System Gang, CCM.
 
Hii nchi imejaa mashetani. JPM alitufungua akili na kutupa ujasiri sisi wanyonge. Tunawasubiri tu, ngoja tuone
Kumbe ulikuwa na akili za kushikiwa.
Wewe "Mnyonge" ujasili wako umekuwa na tija gani kwa taifa?
Stupid! Unategemea mtu akupe ujasiri badala ya wewe mwenyewe kutafuta maarifa ya kukupa huo ujasili.
 
Kumbe ndiyo maana Mwenyezi Mungu aliamua kumtwaa, yaani kwa jinsi alivyo shiriki kutuibia adi inatia hasira huku akituaminisha kuwa sisi wanyonge, sijui chapeni kazi
Mkuu usikute hana hata mia... Wameiba wajanja..

Hivi kweli kwamba Wasukuma ni washamba kiasi hiki.
 
Kwa sababu adui wa maendeleo ya mtu mweusi anategemea ufuate utaratibu huo aliokurithisha wakati akikutawala.
Marehemu alikua genius, aliyajua hayo. Aliwapiga chenga nyingi katika mambo mengi. Kwa kifupi mwendazake alikua level ya Raisi wa N.korea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…