Kama Kiongozi ni mgonjwa wa Afya ya Akili. Nini kinapaswa kufanyika?

Unawalipua wote..,😀😅🤣😂😳
Ukishakuwa na kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili anaumwa severe psychopathy yeye kuuwa watu milioni 10 haoni shida na maaskari kwa kuwa wamepokea maagizo toka JUU wanafata maagizo ya psychopath. Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi?
 
Ajitolee mtu wa kummaliza, hatumtaki.
 
Anavyoendelea kuuwa naye anakuwa anajiweka kwenye mazingira mazuri ya kuuliwa
 
Kiongozi hutokana na wananchi, kama wananchi wezi viongozi watakuwa wezi.

Kwa hiyo aendelee na uongozi wake kwa sababu wananchi wake nao wana hali hiyo hiyo
Jamii ndio inatoa viongozi, hakuna hsja ya kumnyooshea kiongozi kidole, bali jamii ndio tujinyooshee kidole.

Sio wakati wa kumlaumu mtu, kuna watu wengi mitaani ni psychopsth ila tu hawajapata nafasi ys kuwa wakubwa.

Sio ishu ya kumuangalia mtu bali tujiangalie kama jamii katika malezi yetu na zile childhood trauma zetu..

Jamii ndio tuiangalie kwanza na kuitibu...
 
Nini kinapaswa kufanyika kwa sasa ili kuepusha madhara zaidi?
 
Nini kinapaswa kufanyika kwa sasa ili kuepusha madhara zaidi?
Kila mtanzania aangalie mapungufu yake..

Kila mmoja anapofanya jitihada za kujitibu mstatizo yake basi jamii yote itakuwa bora
 
Ndio basi Tena.msubiri amalize muda wake tu
Mgonjwa wa Afya ya akili anaumwa ugonjwa wa kuwa Sadist/Psychopath akiendelea ataua hata watu milioni 60. Pia anasema anataka kuchukua vijana wote akawatupe nchi zingine afrika na jirani. Huyo mtu ni psychopath wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…