Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
- Thread starter
- #21
Ukishakuwa na kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili anaumwa severe psychopathy yeye kuuwa watu milioni 10 haoni shida na maaskari kwa kuwa wamepokea maagizo toka JUU wanafata maagizo ya psychopath. Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi?Unawalipua wote..,😀😅🤣😂😳
Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi?Na kama ni mzee kiumri unadhani kupigwa pumbu inasaidia?
Duh!Menopause nayo inamadhara kumbe.
Ajitolee mtu wa kummaliza, hatumtaki.Kama Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili, Nini kinapaswa kufanyika? Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Kama kiongozi ni psychopath, sadist, nini kinapaswa kufanyika? Mtu akishakuwa Psychopath/sadist anapenda kudhuru watu na kuwaua. Huo ni ugonjwa wa afya ya akili? Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Ukishakuwa na kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili anaumwa severe psychopathy yeye kuuwa watu milioni 10 haoni shida na maaskari kwa kuwa wamepokea maagizo toka JUU wanafata maagizo ya psychopath. Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Share kwenda popote, Instagram, Twitter, TikTok, YouTube, Facebook, Whatsapp, n.k, nini kinapaswa kufanyika endapo Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili anaumwa ugonjwa wa Sadist/psychopath, nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi?
Mgonjwa wa Afya ya akili Analindwa 24/7 Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi?Ajitolee mtu wa kummaliza, hatumtaki.
Labda wachawi wamshughulikie kitaalamAjitolee mtu wa kummaliza, hatumtaki.
Jamii ndio inatoa viongozi, hakuna hsja ya kumnyooshea kiongozi kidole, bali jamii ndio tujinyooshee kidole.Kiongozi hutokana na wananchi, kama wananchi wezi viongozi watakuwa wezi.
Kwa hiyo aendelee na uongozi wake kwa sababu wananchi wake nao wana hali hiyo hiyo
Duh!Anavyoendelea kuuwa naye anakuwa anajiweka kwenye mazingira mazuri ya kuuliwa
Nini kinapaswa kufanyika kwa sasa ili kuepusha madhara zaidi?Jamii ndio inatoa viongozi, hakuna hsja ya kumnyooshea kiongozi kidole, bali jamii ndio tujinyooshee kidole.
Sio wakati wa kumlaumu mtu, kuna watu wengi mitaani ni psychopsth ila tu hawajapata nafasi ys kuwa wakubwa.
Sio ishu ya kumuangalia mtu bali tujiangalie kama jamii katika malezi yetu na zile childhood trauma zetu..
Jamii ndio tuiangalie kwanza na kuitibu...
Kila mtanzania aangalie mapungufu yake..Nini kinapaswa kufanyika kwa sasa ili kuepusha madhara zaidi?
Kilivyo kibishi kinaweza kuwa bado kinaendaKibibi/ajuza cha miaka 65 kinaendaje mwezini kishakauka kau.
Duh!Kilivyo kibishi kinaweza kuwa bado kinaenda
Duh!
Mgonjwa wa Afya ya akili anaumwa ugonjwa wa kuwa Sadist/Psychopath akiendelea ataua hata watu milioni 60. Pia anasema anataka kuchukua vijana wote akawatupe nchi zingine afrika na jirani. Huyo mtu ni psychopath wa hali ya juuNdio basi Tena.msubiri amalize muda wake tu
😁😁🤣Hakuna ugonjwa hapo, kichwa flat hicho. Plus mood swings za kuwa mwezini ni hatari