Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban!

Kwani na yeye anakupenda???? angalia isije ikawa limbwata.
afu kingasti ni mganda????

kama ni limbwata basi nashukuru kunifanyia mimi na si mwingine,hata kama ni mganda poa tu ili mradi niwe naye
 
Weeh unashabikia mwenzio kiroho kinadunda hapa Paw akiamua ku-chop of my chop chop money. Nikipokonywa ile debit card ntaumbuka mjini mwenzio uwiiii.

Rainisha roho basi......jaribu kumgea Excy muda wako walau for a single outing uone kama hana hayo mapene!! Btw, mwenzio kakupendapo kikweli kweli wajameni..... Heheh!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…