Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hehehe si kumlaghai @Heavean on earth nampenda sana toka moyoni
poa tu iwe vita vya dam na rohobasi sawa ila umejiandaa vyema kwa mpambano na figganigga?
basi sawa ila umejiandaa vyema kwa mpambano na figganigga?
miss wa kinyaru akija online na wewe unakuwa online,mkitoka online wote mnapotea Heaven on earth back to realitybwana mdogo Excellent simuelewi. anataka kuvaa viatu vya kaka yake. atakua hana heshima. nmeshamfanyia mpango kwa miss wa kinyaru lakini bado hataki kutulia. nimfanyeje?.
Excellent naomba umheshimu shemeji yako Heaven on earth. atakuingiza kwenye matatizo. ona ushaanza kunitangazia ubaya kisa mke wangu. Muombe Mungu akupe wako. kwa ufupi vita vyangu huviwezi, mwenzio napambana kwa tindikali. mia
miss wa kinyaru akija online na wewe unakuwa online,mkitoka online wote mnapotea
nimepoteza imani
Unapendwa bi shosti lol...hebu mkubali Excellent utamua mwenzio jamani
katongozwa huu mwaka wa tano,hapendeki kabisa..watoto wa masaki si unajua walivyo
Bishanga umeona eeh. Mie sitemi bigijii kwa karanga za kuonyeshewa. Bigijii hangu sugar free, haiishi utamu na haiharibu meno. Akhuuu!Nimesoma kurasa zote kama mtihani wa kiswahili.
......... Paw ni kauzu ile mbaya.
Dah! Hii kali ya kufungia 2013,unatongoza weeeeengi mpaka unasahau ulitongoza yupi...... King'asti una akili sana wewe.
We subiri uwashiwe moto, tena nakumbuka kuna kipindi ukabadili jina likawa la kisharobaro ili umvutie King'asti .... tulia unyolewe...
Nimeshamtema, tena mfikishie hizo habari kwamba nimemtema simtaki tena.jina lake lenyewe hujui. wewe utafanya miss wa kinyaru akuteme kwa hizi tabia zako. mia
Bhaeleze hao.Hehehe unakumbuka eeh. Eti sijui excy sijui nini. Kijana ana mahangaiko ya nafsi huyu!
Utachonga sana. Nshakuambia Paw ndo mpango mzima, wa ndani na wa nje. Hata kifo hakitatutenganisha!
Bhaeleze hao.
Tena nafanyia kazi software ya kudetect mind za watu. Sasa ikishaanza kufanya kazi naamini kuna wengi watanyolewa nywele bila kinyozi
Kipipi yani King'asti ananionea kwa vile anajua nampenda,bby King'asti sina ubishi,mi nataka tu kuwa na wewe,hasa pale unaponipa ushauri,halafu na mimi nakupa ushauri,usipokubalina nakubaliana ,jua kiss cha umpendaye ni raha ya mda ila mi nitakupa zote.Unapolalamika natibu jeraha zako,nakuangalia machoni ukiwa na huzuni nakukumbatia,nakuangalia machoni King'asti we ni kama wimbo wangu bby,nipo serious,unaweza usiniamini ila nataka nikupulize manukato
yenyewe harufu tamu,utanitosa na kusikiliza uzushi wao,wakikutenda wala usiogope,mi nipo ambaye ni Alfa na Omega,nakupenda King'asti.
Nicas Mtei nimekumis sana kutoka moyoni kwangu dalaliiiiiiiiii japo umentupa ka suruali iliyotoboka matakoni haahahahahahaah
afu na wewe wa kufanyiwa majaribio kabisa. japo ni step braza lakini sikuelewi elewi hivi:A S-confused1:
Nimeshamtema, tena mfikishie hizo habari kwamba nimemtema simtaki tena.
Excellent maneno haya yangekuwa unayasema mpk kufa ingekuwa ni mazuri sana, haya yote yanakutoka kwa sababu una kiu na King'ast ila pindi utakapokamilisha kiu yako tu, hayo maneno yooote yanapote, kama utamu wa sukari kwenye Big G" ukishausha unaitema unataka ingine. Hapo ndipo mnaponichosha wanaume LOh!
hivi Excellent bado unaendelea na huu mpango?
me ngoja nikae pembeni nione kama hata pona mtu mwaka huu.
Nimekosea wapi tena?