Kama kuna kitu ambacho hupaswi kukifanya ni kumsaidia Mtanzania Bure (Free of Charge)

Kama kuna kitu ambacho hupaswi kukifanya ni kumsaidia Mtanzania Bure (Free of Charge)

Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Usije ukarogwa ukatoa ushirikiano wa aina yeyote kwa Mtanzania, hakuna mtu mpuuzi na mjinga kama mtanzania. Bado utampatia msaada wa bure lakini bado atakudondoshea zigo la lawama!.

Mtanzania ndiye mtu pekee duniani asiyethamini jasho la mtu.

1. Mapenda lawama

2. Majuaji (Mengi majinga)

3. Malimbukeni

4. Mapenda Vitonga

5. Yanapenda misaada kila wakati.

6. Hayajali

7. Mazuzu

Kila kitu yanataka bure bure tu,ukisema huduma unayotoa uchaji kidogo gharama utasikia yanasema "Mnaenda kupigwa"

Yaani jitu linataka utumie nguvu zako na muda wako kulifaidisha lenyewe!.

Niliona hata ule mchakato wa yule jamaa aitwaye ERNEST BONIFACE MAKULILO (EBM) wa kuwajazia watanzania DV LOTTERY alikuwa anachaji gharama ya Tsh 20,000/= per each Person,bado mitanzania ikaanza kulalamika!.

Aisee nilibaki naishangaa hii mitanzania namna ilivyo mipumbu-avu,kama hutaki kutoa hela kwanini usijaze mwenyewe?,Yaani mtu aache muda wake akujazie wewe bure?,Mitanzania ni mijitu ya ajabu sana!

Kuna mengine humu baada ya kuvutiwa na simulizi zangu,jitu linakifata pm unalipa namba unadhani basi uenda litakutafuta kwa mambo ya msingi,ila lenyewe linakupigia linakwambia "Bro tuonane basi tupige stori mbili tatu"

Mimi "Utanilipa kiasi gani kwa muda nitakaopoteza kuja kupiga stori na wewe"

Lenyewe "Ahahahaha,yaani bro kupiga stori kweli hadi nikulipe?"

Mimi "Kwahiyo niache shughuli zangu nije tu tupige stori!"

Lenyewe "Tubadilishana mawazo kaka"

Mawazo kwanini usibadilishane na mkeo au mumeo?,yaani mtu aache shughuli zake aje abadilishane na wewe mawazo?,Hivi huu ujinga mtaacha lini?,hamjui muda ni pesa?


Narudia tena ndugu zangu!

Usije ukarudia kupoteza muda kwa mtanzania kwa kumsaidia bure!.

Chaji pesa hata kama ni kuonana ili hiyo pesa imuume na yeye pia atajifunza kitu!.

Mengine yako huko mikoani unakuta linakutumia picha ya nyumba WhatsApp linataka kila kitu ulifanyie bure!.

Utasikia!

Lenyewe "Mwanangu kuna nyumba nimekutumia WhatsApp nimeichukua Instagram kuna jamaa wameposti wanauza ramani yake"

Linaendelea "Nimekutumia na namba yao,hebu nisaidie uonane nao wakuonyeshe hiyo ramani wakwambie na bei imesimamaje"

Yaani jitu linashindwa kuelewa kila kitu hapa mjini ni hela lenyewe linataka ulifanyie bure,Kwanini hao watu usiwasiliane nao wewe mkamalizana huko nyinyi wenyewe?

Jingine niliona linamsumbua jamaa mmoja,eti

Lenyewe "Bro huko kwako hakuna vyumba vya kupanga"

Bro wake "Vyumba vya kupanga kwanini usitafute dalali?"

Lenyewe "Bro sina hela,hebu jaribu kuniangalizia halafu utanishitua!"

Bro wake alibaki kulalamika tu na kuliona ni jitu jinga sana,yaani aache mambo yake ya msingi aanze kukutafutia wewe nyumba?,Kwanini usimtafute dalali akakutafutia nyumba?

Matanzania ni mapenda vitonga!,Sijui kwanini hayataki kubadirika!
Duh umetuchana kwl mitanzania
 
Umeongea kweli kabisa wapo watu hawajui thamani ya kitu fulani wanachofanyiwa maishani mwao.
Leo nimekutana na mshkaji wangu wa home kabisa Basi kwenye stori nikamuuliza fulani yuko wapi nampigia simpati akaniambia jamaa kaondoka mkoa bila kuaga kaja bongo ukiangalia huyu mshkaji wangu na huyo jamaa alieondoka bila kuaga ni ndugu mtoto wa baba mkubwa n mdogo na jamaa ni fundi gereji pikipiki na alimfundisha huyo dogo kila kitu kwakua anajua ni ndugu yake ila dogo kasepa hata kusema bro naondoka mwamba analalamika kwamba dogo kamuonaje hajachukia kutokuagwa ila anajiuliza dogo kanionaje na kibaya dogo akiondoka amepishana na jamaa hapo hapo gereji na hajamwambia kitu yeye kalaza mbele. Sio mchezo binadamu tunajisahau sana namuomba sama Mungu pale ninaposaidiwa basi nisijisahau nikaonekana mjinga
Watanzania ni shida. Kuna watu nimewakopesha hela zangu, tena walikuja wanalia shida, ila kilichotokea wame block namba zangu za simu.
 
Research niliyoifanya kwenye hizi nchi za watu wajinga ni ngumu kufanya nao project ya maana... Hivi lijitu km Lucas Mwashambwa utajadili nalo ishu gani ya msingi.

Lenyewe kutwa kumsifia mama samia kuliko kujadili namna ya kujikwamua yeye na wanzake walionae kimaisha. Lenyewe halina project ya maana kutwa kujikomba tu.

Hii Africa ww km uko serious fanya mambo yako km kuna mtu yuko serious ataungana na ww ila hakikisha humuwek akilini. Fanya mambo yako hata km una wengine assume km hawapo. Ni km hawa wanawake wa kibongo unaweza ukaweka nguvu kwa ajili yake lakini kumbe hayuko na ww. So hata km una mwanamke we assume km hauna.
Huyo mwosha mbwa ni kijana wa ovyo kabsaaa
 
We fanya jaribio dogo tu angalia kwenye sherehe,misiba watoto wa peasant chakula kinavyowatoa amani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We mwenyewe mtoto wa peasant umeenda dar kuuza "k" unajiona mtoto wa bakresa takataka
 
Hapo kwenye "brother naweza kupata chumba huko sina hela ya dalali" Aisee hapo bro unafanywa dalali ila for free sijui watu huwa wanawazaje😂😂
 
Nyumbani nina kisima,

Kama miezi miwili iliyopita ndio maji ya bomba
yametufikia nikavuta,

Now natumia ya bomba,
Majirani wawili wamejimilikisha kuchota bure ya

kisima kwa kuwa natumia ya bomba,
Zaidi ya miezi miwili ni kujazana ovyo uani kwangu

kuchota maji, geti ni kelele muda wote fungua funga,
Mimi maji nalipia bill kubwa ,nikawapa taarifa kuwa

kuanzia sasa maji wachangie kdg kwa mwezi,
Sijawaona tena.
 
Back
Top Bottom