Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Sawa anauhakika gani kuwa mchongo uliomuondoa pale ni wa ujuzi aliompa.Hakibadiliki kitu ila kwa mtu aliekufundisha kazi kakupa maujuzi kazi nzu zikija anakupa leo unaondoka kama umegombana nae sidhani kama ni uungwana haya ukahitaji kurudi inakuaje? Ila sikupingi tunatofautiana na sio lazima kuaga