Kama kuna kitu ambacho hupaswi kukifanya ni kumsaidia Mtanzania Bure (Free of Charge)

Hakibadiliki kitu ila kwa mtu aliekufundisha kazi kakupa maujuzi kazi nzu zikija anakupa leo unaondoka kama umegombana nae sidhani kama ni uungwana haya ukahitaji kurudi inakuaje? Ila sikupingi tunatofautiana na sio lazima kuaga
Sawa anauhakika gani kuwa mchongo uliomuondoa pale ni wa ujuzi aliompa.
 
Research niliyoifanya kwenye hizi nchi za watu wajinga ni ngumu kufanya nao project ya maana... Hivi lijitu km Lucas Mwashambwa utajadili nalo ishu gani ya msingi.

Lenyewe kutwa kumsifia mama samia kuliko kujadili namna ya kujikwamua yeye na wanzake walionae kimaisha. Lenyewe halina project ya maana kutwa kujikomba tu.

Hii Africa ww km uko serious fanya mambo yako km kuna mtu yuko serious ataungana na ww ila hakikisha humuwek akilini. Fanya mambo yako hata km una wengine assume km hawapo. Ni km hawa wanawake wa kibongo unaweza ukaweka nguvu kwa ajili yake lakini kumbe hayuko na ww. So hata km una mwanamke we assume km hauna.
 
"Hivi lijitu km Lucas Mwashambwa utajadili nalo ishu gani ya msingi."

Mkuu U made my day 🤣🤣🤣🤣

Siku nzima sijacheka ila komenti yako imenichekesha sana
 
Cha ajabu hapa uneisema mitanzania Bureee na Unajua kabisa kusemwa ni hela.Unepoteza muda wako buree lakini mtu akikuomba umuandikie barua utataka hela,na mimi nilivyo Mjinga nimekujibu bureee wakati Najua majibu ni hela.

Inachekesha eeeeh.Acha Roho mbaya mpumbavu wewe kila kitu unataka hela. Mbona mimi nimekutukana buuuureee.
 
Hawa ndiyo nguv

Aisee!
 
Back
Top Bottom