Kama kuna kitu ambacho hupaswi kukifanya ni kumsaidia Mtanzania Bure (Free of Charge)

Duh umetuchana kwl mitanzania
 
Watanzania ni shida. Kuna watu nimewakopesha hela zangu, tena walikuja wanalia shida, ila kilichotokea wame block namba zangu za simu.
 
Huyo mwosha mbwa ni kijana wa ovyo kabsaaa
 
We fanya jaribio dogo tu angalia kwenye sherehe,misiba watoto wa peasant chakula kinavyowatoa amani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We mwenyewe mtoto wa peasant umeenda dar kuuza "k" unajiona mtoto wa bakresa takataka
 
Hapo kwenye "brother naweza kupata chumba huko sina hela ya dalali" Aisee hapo bro unafanywa dalali ila for free sijui watu huwa wanawazaje😂😂
 
Nyumbani nina kisima,

Kama miezi miwili iliyopita ndio maji ya bomba
yametufikia nikavuta,

Now natumia ya bomba,
Majirani wawili wamejimilikisha kuchota bure ya

kisima kwa kuwa natumia ya bomba,
Zaidi ya miezi miwili ni kujazana ovyo uani kwangu

kuchota maji, geti ni kelele muda wote fungua funga,
Mimi maji nalipia bill kubwa ,nikawapa taarifa kuwa

kuanzia sasa maji wachangie kdg kwa mwezi,
Sijawaona tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…