Kama kuna kitu ambacho hupaswi kukifanya ni kumsaidia Mtanzania Bure (Free of Charge)

UMUGHAKA wa Baghaka
 
Peasant ni hatari sana hawa watu ndio maana Ulaya hili tabaka walilifutilia mbali.Linaongozwa na falsafa ya FISi.Usitegemee lolote kwa mtoto wa peasant.
Even a beautiful butterfly has passed through a cocoon stage to become what it is.
Hata hao wa Ulaya mababu zao walipitia hatua(stage) ya peasant.

BTW, I hate people who behaves like parasites.
Watu lazima walipie muda au huduma kama wanataka mafanikio ya kweli siyo unyonyaji wa kutaka wafanyiwe bure mambo yao.
 
Reactions: EEX
Don't take personal Kuna watu wema wengi sana nchi hii na wabaya pia wapo ila kumsaidia mtu wether ni kwa Bure au kwa malipo hutegemeana na ameomba Nini wapi na wakati gani
Don't give for free ni sehem kabisa ya kanuni ya maendeleo kwamba watu huthamini zaidi kile kitu wamelipia kuliko walichopata bure
 
Kama ni mkerewe ni kawaida hao utamaduni wao hawaagi hata baba na mama yani ni anapotea TU na baadhi ya makabila Kanda ya ziwa huwa hawaagi
 
Kama ni mkerewe ni kawaida hao utamaduni wao hawaagi hata baba na mama yani ni anapotea TU na baadhi ya makabila Kanda ya ziwa huwa hawaagi
Mpare je? Alafu tatizo sio kuaga tatizo ni unamchukuliaje huyo aliekufundisha kakaa na ww kazini kwake vizuri leo unaondoka kama unamkimbia mtu anaekudai
 
Kweli watz si watu wa kusaidiwa, nimejifunza na kuona nakutendewa kabisa, usithubutu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…