HAPO UNAKUTA YUKO HOI BIN TAABANI HATA PESA YA KULA HANA MFUKONI LAKINI ETI ANACHAMBUA MAMBO YA URUSI
Vijitu vingine bwana,yani hapo wewe nae eti umechangia,waswahili ndio maana huwa tunashindwa maswali mepesi tu.umeonesha jinsi ulivyo kilaza.
hivi mimi na wewe nani yuko hoi?kwanza umetumia herufi kubwa isivyostahili,pili umeonesha ujinga wako hadharani kwa kuhusisha fedha na maoni.sasa mtu kutokua na fedha kunamzuia kutazama Al jazeera,au Press TV,au RT,au kusoma Sputnik news,au kusoma habari kupitia Mitandao mbalimbali?
Kati ya mimi na wewe nani yuko hoi? kama mimi niko hoi mfukoni,wewe uko hoi kichwani.
kuna watu wengi hawana hela ya kula lakini kupata habari hawakosi elewa wewe kilaza.
hata hivyo kwa ujinga wako umewezaje kujua kuwa mimi niko hoi,hunijui wala sikujui,hujui niko wapi na ninafanya nini.
Kuchambua mambo ya Urusi wewe kwenu unaona ni Big Deal.?
Hata wazee vijijini wanakaa chini ya mwembe wanasikiliza BBC,DW,VOA,France,etc.
Kwanza napoteza mda wangu kujibizana na wewe usikute tayari ushavuta
Ugoro.