Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

hapa bongo TZ taja vitu vya mrusi dukani
The following export product groups represent the highest dollar value in Russian global shipments during 2018. Also shown is the percentage share each export category represents in terms of overall exports from Russia.

Mineral fuels including oil: US$237.6 billion (52.9% of total exports)

Iron, steel: $23.4 billion (5.2%)

Cereals: $10.5 billion (2.3%)

Gems, precious metals: $10.1 billion (2.2%)

Machinery including computers: $9.2 billion (2%)

Wood: $9 billion (2%)

Fertilizers: $8.2 billion (1.8%)

Aluminum: $6.6 billion (1.5%)

Copper: $5.4 billion (1.2%)

Electrical machinery, equipment: $4.9 billion (1.1%)

Kingine, mauzo ya Russia kwa Africa ni kama 3% tu ya exports zote. Na hizo ni kwa Algeria, Morroco, Egypt na nchi zenye mazoea na manunuzi uko. Wewe mbongo ni vigumu ukutane nazo lakini mifumo ya kompyuta iyo ndo waweza: eg.Telegram na Karspersky.
 
AK47 za mrussi ziko Kariakoo Mkuu ?

Nenda kaangalie Ubalozi wa Urussi pale mataa O/bay halafu nenda msasani kacheki mjengo wa US ndio utapata angalau picha.

Russia choka mbaya sana njaa tupu. Najua povu saana lakini ndio hali halisi. Halafu wapo kibao kama wachina vile.
Mbona huna weredi kabisa. Ubalozi wa Marekani mbona wa kawaida sana. Na kingine ujue ubalozi unakuwa mkubwa au kuwa na shughuli nyingi kulingana na diplomasia ya nchi ilivo na mahusiano baina ya nchi hizo. Huwezi taka eti ubalozi wa Tanzania nchini Vietnam uwe mkubwa kuliko ubalozi wa Tanzania nchini China, inategemea sera zao na mahusiano vikoje. Watu kama wewe ndo mnapima utajiri wa mtu kwa nyumba anayoishi. Tumia vigezo vyenye akili kufanya justification ya unachokisema.
 
Nendeni mkaangalie tu ubalozi wa Urrudi pale S

Acha upuzi. Sasa hivi US yupo Syria kwa mabavu umemsikia Russia anapiga bomu pale. Nako wachache sana.

Vip uliiona ile clip wa Russia wame pigwa block kule syria wakaambiwa warudi walikotoka. Ipo youtube.

Naona naongea na mtu ambae hajui nasema nini. Mi nimeingia pale Ubalozini kwao Selader Bridge O^bay Russia njaa tupu.

Halafu tullingia kuchukua Visa pale msasni ililokuwa Drive Inn msasani. Tofauti kubwa mchana na Usiku.

Bye for now & signing out naona napoteza muda wangu tu
 
Kwani ukiwa na njaa ubongo unakufa?
Wengine raha yao ni kufuatilia mambo ya kijeshi, wengine mpira, huwezi kunipangia nisishangilie mpira au nichambue sababu nina njaa hasha!
HAPO UNAKUTA YUKO HOI BIN TAABANI HATA PESA YA KULA HANA MFUKONI LAKINI ETI ANACHAMBUA MAMBO YA URUSI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AK47 za mrussi ziko Kariakoo Mkuu ?

Nenda kaangalie Ubalozi wa Urussi pale mataa O/bay halafu nenda msasani kacheki mjengo wa US ndio utapata angalau picha.

Russia choka mbaya sana njaa tupu. Najua povu saana lakini ndio hali halisi. Halafu wapo kibao kama wachina vile.
Lakini ndugu zako waturuki huko wanaokula kipondo na watu waliochoka mkuu...huku mabeberu walioshiba wanaangalia tu wanamuogopa aliyechoka[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nendeni mkaangalie tu ubalozi wa Urrudi pale S

Acha upuzi. Sasa hivi US yupo Syria kwa mabavu umemsikia Russia anapiga bomu pale. Nako wachache sana.

Vip uliiona ile clip wa Russia wame pigwa block kule syria wakaambiwa warudi walikotoka. Ipo youtube.

Naona naongea na mtu ambae hajui nasema nini. Mi nimeingia pale Ubalozini kwao Selader Bridge O^bay Russia njaa tupu.

Halafu tullingia kuchukua Visa pale msasni ililokuwa Drive Inn msasani. Tofauti kubwa mchana na Usiku.

Bye for now & signing out naona napoteza muda wangu tu
Kwa mwandiko wako tu naomba tusibishane tena. Asante sana kwa maoni yako.
 
Asante Mkuu,na kwa majibu yako juu ya mtu huyu ndio nazidi kujua kuwa wewe Ni akili kubwa ambayo umejaaliwa.
Bahati mbaya jamaa yangu hakuyajua hayo uliyomweleza.
Kwani ukiwa na njaa ubongo unakufa?
Wengine raha yao ni kufuatilia mambo ya kijeshi, wengine mpira, huwezi kunipangia nisishangilie mpira au nichambue sababu nina njaa hasha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mkuu kwa kunisaidia kumuelimisha.
Kinachonifurahisha wapo waungwana wamenielimisha na wanaendelea kutililika.
 
Hahahaha nimecheka Sana ...yaani ndugu yangu unadhani Russia hawakuliona Hilo ??? Dah
Mkuu hayo ndio maoni yangu,na huo ndio wasiwasi wangu.Na huo ndio mwisho wangu wa kufikiria,mimi sio mtaalam wa intelijensia, masuala ya Vita na Silaha.sasa nyinyi wataalamu toeni maoni yenu.Maana naona kinachoendelea huko Syiria sio salama kabisa.kuna Vita kubwa inanukia.
Inawezekana hata Kuna raia wa Russia wanawaza Kama Mimi.
 
hapa bongo TZ taja vitu vya mrusi dukani
Vifaru vya JWTZ,Lada za jeshi.
Sio kwa kua hamna bidhaa hapa Nchini maana yake nchi hiyo Haina kitu.
Marekani wenyewe wananunua injini kutoka Urusi na baadhi ya vifaa vya kuunganisha kweye ndege vilivyotengenezwa URUSI.
Ulaya,China,Amerika ya kusini,mashariki ya Kati na ya mbali wananunua vitu toka Urusi.
 
Film industry, music industry & entertainment industry kwa ujumla ya US Ni sawasawa na viwanda vyote vya Russia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie Muigizaji mmoja maarufu kutoka Ujerumani,Mwanamuziki mmoja maarufu kutoka ujerumani.Nitajie movie moja iliyopendwa Sana hapa duniani au wimbo uliopendwa sn hapa duniani kwa mwaka Jana kutoka German.
Maana yangu ni hivi.
Sio Kama nchi ikiwa Haina vitu ulivyovitaja maana yake iko chini.Je ujerumani sio Tajiri? Mbona Haina filim industry kubwa?
Hata hivyo Ni kutokujua tu kwako.huwezi kulinganisha Entertainment industry ya MAREKANI kuwa sawa na viwanda vyote vya Urusi.Viwanda vya Urusi ni zaidi na vinaiingizia hella nyingi Sana.
Kutengeneza masilaha yote hayo inahitaji fedha nyingi Sana.
 
Wabongo tunadharauliana sana, huenda ana kanafuu flani cha maisha na anahisi watu wengine ni choka mbaya.
Usimdharau usiyemjua
Asante Mkuu,na kwa majibu yako juu ya mtu huyu ndio nazidi kujua kuwa wewe Ni akili kubwa ambayo umejaaliwa.
Bahati mbaya jamaa yangu hakuyajua hayo uliyomweleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AK47 za mrussi ziko Kariakoo Mkuu ?

Nenda kaangalie Ubalozi wa Urussi pale mataa O/bay halafu nenda msasani kacheki mjengo wa US ndio utapata angalau picha.

Russia choka mbaya sana njaa tupu. Najua povu saana lakini ndio hali halisi. Halafu wapo kibao kama wachina vile.
Nenda kituo cha porisi keko,chungulia kwa nyuma utaona magari kibao ya washawasha aina ya Kamaz yamepaki.sasa jaribu kufanya fujo ndo utakua uwezo wa hayo magari maana yanarusha maji balaa.

Pia nenda kitengo cha zimamoto utakutana na gari nyingi tu za kuzimia moto aina ya Kamaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hayo ndio maoni yangu,na huo ndio wasiwasi wangu.Na huo ndio mwisho wangu wa kufikiria,mimi sio mtaalam wa intelijensia, masuala ya Vita na Silaha.sasa nyinyi wataalamu toeni maoni yenu.Maana naona kinachoendelea huko Syiria sio salama kabisa.kuna Vita kubwa inanukia.
Inawezekana hata Kuna raia wa Russia wanawaza Kama Mimi.
Ok thanks...samahani kwa kuonekana nakubeza..I am sorry...inaonekana wewe ni mtu muungwana na unayetaka hoja za kuelimishana...I am sorry...kwa upande Fulani upo sahihi...middle East inaweza kufumuka Vita kubwa...kwa uelewa wangu s-400 zipo za export na za wao warusi...ninavyowafahamu warusi hawaeezi kuwapa Kila kitu kuhusu s 400 hao waturuki..halafu nadhani warusi wanna mpango mkubwa mno kuhusu Syria...nadhani mikakati yote ya Syria inaandaliwa na Russia...kwa Russia Syria ni life and death..ni suala la kiuchumi pia,.
 
Back
Top Bottom