STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleUrusi wana njaa kali.Ni sawa na mzazi anayemuuza binti yake kwa bazazi sababu ya njaa!
Kwani BONGO Yenu Ndio Taifa Pekee DUNIANIhapa bongo TZ taja vitu vya mrusi dukani
Mkiambiwa ukweli mnapanic
Kwahio hivyo ndio mrusi hana ama [emoji23][emoji23][emoji23]Film industry, music industry & entertainment industry kwa ujumla ya US Ni sawasawa na viwanda vyote vya Russia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani matajiri wanalingana?! Hata Mo naye ni tajiri! Lakin vipi ikimuweka kumuweka kwenye kapu moja na akina bill gate?!Nitajie Muigizaji mmoja maarufu kutoka Ujerumani,Mwanamuziki mmoja maarufu kutoka ujerumani.Nitajie movie moja iliyopendwa Sana hapa duniani au wimbo uliopendwa sn hapa duniani kwa mwaka Jana kutoka German.
Maana yangu ni hivi.
Sio Kama nchi ikiwa Haina vitu ulivyovitaja maana yake iko chini.Je ujerumani sio Tajiri? Mbona Haina filim industry kubwa?
Hata hivyo Ni kutokujua tu kwako.huwezi kulinganisha Entertainment industry ya MAREKANI kuwa sawa na viwanda vyote vya Urusi.Viwanda vya Urusi ni zaidi na vinaiingizia hella nyingi Sana.
Kutengeneza masilaha yote hayo inahitaji fedha nyingi Sana.
Nahakuna NATO Atakae Kuja Hapo Kama Huamini Kaa Uone.....I
Ila nasikia Edo ameomba msaada NATO.hawa wakija itabidi Russia awe mpole.
Ndio maana huwa kuna version kwa ajili ya export,sijui hapa russia walikua na maana gani.Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.
Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi mda sio mrefu.
S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya.
hili ni kosa kubwa la Urusi dhidi ya West.ni mafanikio makubwa kwa US.
Ndiyo ni burudani,
Hoja wala haikua kugusa wala kutogusa mtoa hoja alisema urusi ina viwanda vyakila aina unavyovijua wewe wewe ukasema industry ya musicKwani matajiri wanalingana?! Hata Mo naye ni tajiri! Lakin vipi ikimuweka kumuweka kwenye kapu moja na akina bill gate?!
Kama siraha US naye anazitengeneza mno na Russia anatengeneza pia, na wala huku mtaani hawajui hayo mambo yao ya siraha, lakin kitaa hadi kijijini sitimbi hukongwa nyoyo na mziki mzuri wa akina criss brown, Usher, Celine Dione, nk.
Entertainment ya US imeajiri wananchi hadi vijijini, mfano wanaoweka nyimbo kwenye simu, wanaoburn CD, wanaouza t-shirt zenye logo za wasanii, nk. Lakin viwanda vya Urusi havigusi moja kwa moja watu wengi duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujidhalilisha.Vijitu vingine bwana,yani hapo wewe nae eti umechangia,waswahili ndio maana huwa tunashindwa maswali mepesi tu.umeonesha jinsi ulivyo kilaza.
hivi mimi na wewe nani yuko hoi?kwanza umetumia herufi kubwa isivyostahili,pili umeonesha ujinga wako hadharani kwa kuhusisha fedha na maoni.sasa mtu kutokua na fedha kunamzuia kutazama Al jazeera,au Press TV,au RT,au kusoma Sputnik news,au kusoma habari kupitia Mitandao mbalimbali?
Kati ya mimi na wewe nani yuko hoi? kama mimi niko hoi mfukoni,wewe uko hoi kichwani.
kuna watu wengi hawana hela ya kula lakini kupata habari hawakosi elewa wewe kilaza.
hata hivyo kwa ujinga wako umewezaje kujua kuwa mimi niko hoi,hunijui wala sikujui,hujui niko wapi na ninafanya nini.
Kuchambua mambo ya Urusi wewe kwenu unaona ni Big Deal.?
Hata wazee vijijini wanakaa chini ya mwembe wanasikiliza BBC,DW,VOA,France,etc.
Kwanza napoteza mda wangu kujibizana na wewe usikute tayari ushavuta Ugoro.
Na nyinyi uzeni mafuta....Wasipouza silaha na mafuta nini tena wanacho cha kuuza
Si unanunua CDs ili kupata antivirus ya kysper.hapa bongo TZ taja vitu vya mrusi dukani
Tanzania haiwezekani kubeba vitu vya Dunia nzima.Kuna nchi wanatumia bidhaa za kutoka Urusi pia.Pia Kuna nchi zinapata hizo Entertainment products Kama movies na music kutokea Urusi.Shida ninayoiona Ni Wao Urusi kutosambaza bidhaa zao Hadi huku Kwetu,nadhani hayo yalikua ni mapungufu ya Ukomunist.Hata wachina walikua hivyo,bidhaa zao wanauza ndani tu,walipofungua masoko bidhaa zao zilienea dunia mzima.Kwani matajiri wanalingana?! Hata Mo naye ni tajiri! Lakin vipi ikimuweka kumuweka kwenye kapu moja na akina bill gate?!
Kama siraha US naye anazitengeneza mno na Russia anatengeneza pia, na wala huku mtaani hawajui hayo mambo yao ya siraha, lakin kitaa hadi kijijini sitimbi hukongwa nyoyo na mziki mzuri wa akina criss brown, Usher, Celine Dione, nk.
Entertainment ya US imeajiri wananchi hadi vijijini, mfano wanaoweka nyimbo kwenye simu, wanaoburn CD, wanaouza t-shirt zenye logo za wasanii, nk. Lakin viwanda vya Urusi havigusi moja kwa moja watu wengi duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani alifanikiwa kuniprovoke,najuta,naomba unisamehe.nimecalm down.Acha kujidhalilisha.
Bongo bana yan mtoa mada ana akili kuliko FSB na SVR
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Mkuu unaelewa maana ya maoni?
Mimi hayo Ni maoni yangu,lakini wachangiaji wamekuja na maoni yao.
Wewe sio muumini wa mijadala?
Unajua hata ukifungua Social media za nje wanaweza kua na maoni kama yangu.