Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

A
Ok thanks...samahani kwa kuonekana nakubeza..I am sorry...inaonekana wewe ni mtu muungwana na unayetaka hoja za kuelimishana...I am sorry...kwa upande Fulani upo sahihi...middle East inaweza kufumuka Vita kubwa...kwa uelewa wangu s-400 zipo za export na za wao warusi...ninavyowafahamu warusi hawaeezi kuwapa Kila kitu kuhusu s 400 hao waturuki..halafu nadhani warusi wanna mpango mkubwa mno kuhusu Syria...nadhani mikakati yote ya Syria inaandaliwa na Russia...kwa Russia Syria ni life and death..ni suala la kiuchumi pia,.
Asante Mkuu,nimependa kwa jinsi ulivyo nijibu kiungwana.Pia zaidi nimepata kitu kutokana na uchambuzi wako.
 
Most of weapons sold today are sold to enhance peace and prevent war rather than to be used miltary actions.
 
Wewe una akili kuwashinda warusi?.Warusi wanajua kabisa unavyomizia mtu silaha basi kuna uwezekano mkubwa ikafika kwenye mikono sio salama maana kuna adui kuteka silaha,kuna mapinduzi ya kikeshi na mambo mengine mengi tu.kwa iyo mpaka wanauza basi washanjiandaa kwa mamboengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona panya anamdhihaki paka ujue kuna shimo jirani. Urusi ya leo siyo ile ya USSR.
 
Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.
Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi mda sio mrefu.
S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya.
hili ni kosa kubwa la Urusi dhidi ya West.ni mafanikio makubwa kwa US.

Sasa hivi wana S500 mkuu
 
Mkiambiwa ukweli mnapanic

Mmarekani ana nn ambacho mrusi hana ama hatengenezi usitaje vingi taja kimoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi ana silaha bila ya kuwa na pesa.Mtu wa design ni rahisi sana kugeuka jambazi kukaba watu kwa kutumia silaha zake ili aambulie chochote,rejea anachokifanya huko Cremea,Ukraine
 
Una ujuzi au uzoefu wowote wa utengenezaji silaha na biashara ya silaha za kivita?
Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.
Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi mda sio mrefu.
S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya.
hili ni kosa kubwa la Urusi dhidi ya West.ni mafanikio makubwa kwa US.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crimea kafanya nn ?!
Kwan yale si yalikua maamuzi ya wana Crimea ama hakupiga Kura ?!
Urusi ana silaha bila ya kuwa na pesa.Mtu wa design ni rahisi sana kugeuka jambazi kukaba watu kwa kutumia silaha zake ili aambulie chochote,rejea anachokifanya huko Cremea,Ukraine
Sasa wewe rejelea anayo yafanya US Pale IRAQ SYRIA AFGHANISTAN

RUSSIA Walapesa Sio Tatizo Kwake Nandio Maana Hujawahi Msikia Akilia Lia Njaa Ama Kuomba Omba Kama Nchizadunia Yasaba Hzi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.
Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi mda sio mrefu.
S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya.
hili ni kosa kubwa la Urusi dhidi ya West.ni mafanikio makubwa kwa US.
Dogo hujui kuhusu mambo ya missile, Russia anaziendesha hizo S400 hata kwa miaka 10 ijayo, Uturuki kaingia cha kike hafu usizani hayo Makombora wanayotengeneza yanaubora kama ambayo anatumia Urusi mwenyewe, mfano Hata USA zana anazowauzia wengine haziko first class kama anazotumia yeye,
 
MKUU Kwan Unahisi Wakati RUSSIA Anayauza Hayo Ma S Hakujua Kama TURKEY Ni Mwanachama Halali Wa NATO !?

Jamaa Walitazama Mpaka Kesho Kutwa Yao Kabla Yakufikia Maamuzi Yakuyauza Hayo Madude

Wafanye Watakavyoyafanya Wakiamuliwa Kuchapwa Wanachapwa Mpaka wanakaa Pembeni[emoji4][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_15827420357267760.jpg
 
Crimea kafanya nn ?!
Kwan yale si yalikua maamuzi ya wana Crimea ama hakupiga Kura ?!Sasa wewe rejelea anayo yafanya US Pale IRAQ SYRIA AFGHANISTAN

RUSSIA Walapesa Sio Tatizo Kwake Nandio Maana Hujawahi Msikia Akilia Lia Njaa Ama Kuomba Omba Kama Nchizadunia Yasaba Hzi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_15827997203745840.jpg
 
Dogo hujui kuhusu mambo ya missile, Russia anaziendesha hizo S400 hata kwa miaka 10 ijayo, Uturuki kaingia cha kike hafu usizani hayo Makombora wanayotengeneza yanaubora kama ambayo anatumia Urusi mwenyewe, mfano Hata USA zana anazowauzia wengine haziko first class kama anazotumia yeye,
Wewe umepata wapi hizo taarifa?
Have you ever served as Russian military personal?
 
Urusi wana bidhaa nyingi sana Mkuu.Urusi ana karibu viwanda vyote alivyonavyo Mmarekani.
Let's make good arguments here, mrusi ana kiwanda cha kutengeneza iPhone?

Refer your words up there
 
Wewe umepata wapi hizo taarifa?
Have you ever served as Russian military personal?
Hivi kwa akili yako unaweza kuuziwa kitu cha hatari kama silaha ambayo iko genuine 100%? Kawaulize Saudia wauliziwa ndege zile F-35 ambazo Trump alikuwa anazipamba kuwa hata rada haiwezi kuziona lakini kule Yemeni zilidondoshwa na waasi
 
Back
Top Bottom