- Thread starter
- #121
Ha ha hahaha hela nitoe wapi Mkuu!?Anachambua kwa kina"ila jamaa hela atakuwa nayo maana ni mwana jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoa mtazamo wangu tu.Humu JF Kuna wataalamu wa kila fani.nilijua tu kuwa Kuna watu wataniondolea kiu ya maoni yangu.
Nipe Nondo zako Mkuu.
Ila bado Nina wasiwasi huko the dako hii Vita itachukua sura mpya,NATO wamekutana kujadili hatima ya mwanachama wao.Turky.Na Turkey amekwisha fungulia wakimbizi wameisha Anza kuingia Bulgaria.Europe wameanza kutafakari Jambo hilo.lnawezekana NATO wasiingie kijeshi lakini vipi wakimpa Turkey sophisticated weapons kumpiga Urusi Hali itakuaje?