Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

Mkuu unajua maana ya neno ANA KARIBU?
Maana yake sio vyote.Lakini anavyo viwanda Kama vya Marekani.
Nadhani hiyo imekaa sawa.
Kwa maana hiyo unakubaliana na Mimi kuwa URUSI pia, ana viwanda ambavyo Marekani Hana?
Na unakubaliana na Mimi kua Marekani hununua bidhaa zilizotengenezwa na viwanda vya Urusi?
Maana ya neno (ana karibu) hiki si kiswahili sanifu hivyo siwezi kujua maana yake pengine uliza kivingine.

Hakuna kiwanda ambacho Russia anacho Marekani hana nakataa prove me wrong buddy.
Marekani ananunua bidhaa moja tu iliyotengenezwa na kiwanda cha urusi nayo ni rockets engines, kingine anachochukua russia ni petroleum products.

Atamuuzia nini kingine ikiwa technology ya russia bado ni ya kizamani?
Soma zaidi

What goods does the U.S. get from Russia? - Quora
 
Hoja haikua ubora wala uduni waviwanda husika hoja ilikua upatikanaji wakiwanda husika ndani yataifa husika ambalo lilikua RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo useme ni wapi nilisema Russia hakipo?! Niliianza kwa kumQuote huyo hapa. Kwa hiyo hapo ndo umeelewa Russia hakuna mambo ya burudani!!
Screenshot_2020-03-03-18-53-23-99.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why Aren't there any Russian Branded Mobiles In The Market

Nahisi Kwakizungu Changu Cha St Kayumba Nikwamba Kwanini Sokoni Hakuna Simu Ambazo Ni Brand Ya RUSSIA Ila Haijasema Kwa nini Russia Hawatengenezi Simu Ama Kwanini RUSSIA Hakuna Kiwanda Chakutengenezea Simu

Kwan Mada Ulianza Kuibishiaje MKUU Mbna Unajitoa Ufahamu[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ya neno (ana karibu) hiki si kiswahili sanifu hivyo siwezi kujua maana yake pengine uliza kivingine.

Hakuna kiwanda ambacho Russia anacho Marekani hana nakataa prove me wrong buddy.
Marekani ananunua bidhaa moja tu iliyotengenezwa na kiwanda cha urusi nayo ni rockets engines, kingine anachochukua russia ni petroleum products.

Atamuuzia nini kingine ikiwa technology ya russia bado ni ya kizamani?
Soma zaidi

What goods does the U.S. get from Russia? - Quora
Kwani pamoja na hio teknolojia yake yazamani mbna bado anamuuzia hvyo anavyomuuzia ambavyo umevitaja

Ama hivyo anatengeneza kwa modern tech[emoji23][emoji23]

Unajua mnajikanyaga wenyewe hamueleweki kabisa yaani....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu hoja ilikua Ni kuwa Russia Wana viwanda? Au hoja ilikua Wana soko la viwanda?
Kumbe Wana viwanda vya simu na simu inaitwa Yota! Basi Asante kwa kutusaidia kutufahamisha kuwa kumbe Wana viwanda vya simu Yota.kutokuapatikana sokoni hiyo tuwaachie wao.labda wanamuuziaga Kiduku.
Ungesoma vizuri kuanzia mwanzo nadhani ungeelewa vyema.
Hoja ilikuwa Russia wana viwanda ambavyo America vipo nikakataa kuna viwanda kibao vipo hapa tu Minneapolis Russia havipo.

Yota mzee ilikuwepo waaaaaaay back nimemuuliza utam iko wapi haikuwahi kusambazwa kwa sababu chipsets zao ni old sasa aseme ziko wapi sasa hivi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani pamoja na hio teknolojia yake yazamani mbna bado anamuuzia hvyo anavyomuuzia ambavyo umevitaja

Ama hivyo anatengeneza kwa modern tech[emoji23][emoji23]

Unajua mnajikanyaga wenyewe hamueleweki kabisa yaani....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijikanganyi Russia ana technology ya zamani sana kwenye mambo mengine despite Rockets engines.
 
Why Aren't there any Russian Branded Mobiles In The Market

Nahisi Kwakizungu Changu Cha St Kayumba Nikwamba Kwanini Sokoni Hakuna Simu Ambazo Ni Brand Ya RUSSIA Ila Haijasema Kwa nini Russia Hawatengenezi Simu Ama Kwanini RUSSIA Hakuna Kiwanda Chakutengenezea Simu

Kwan Mada Ulianza Kuibishiaje MKUU Mbna Unajitoa Ufahamu[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nobody wanted you to translate it, ingia usome alafu ukutane na facts tupu
 
J
Unafafanua vizuri Sana Bwana Utamu,naamini jamaa anakuelewa vizuri Sana,pengine anakwepesha hoja hiyo kwa sababu anazozijua yeye.
Hata mm nimelihisi hilo maana nimekua wazi kilasehemu nawala sijaegemea popotepale sasa nashangaa jamaa cjui anakwamia wapi

Ilapia nimehisi yakwamba jamaa ananichora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesoma vizuri kuanzia mwanzo nadhani ungeelewa vyema.
Hoja ilikuwa Russia wana viwanda ambavyo America vipo nikakataa kuna viwanda kibao vipo hapa tu Minneapolis Russia havipo.

Yota mzee ilikuwepo waaaaaaay back nimemuuliza utam iko wapi haikuwahi kusambazwa kwa sababu chipsets zao ni old sasa aseme ziko wapi sasa hivi
Narudia tena ishu sio uold ama u new ishu nikwamba wanazo ama wanayo suala mengne wanayajua wenyewe nalamasoko kadhalika ila mhimu wanayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom