RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Kumbe siku hizi watz wana undugu na waturuki?Naona umewaacha ndugu zako waturuki sasa unaishabikia Russia😀😀😀😀.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe siku hizi watz wana undugu na waturuki?Naona umewaacha ndugu zako waturuki sasa unaishabikia Russia😀😀😀😀.
Sijawahi kusema kama Wengine hawatengenezi ila nasema wanasilaha boraUnaposifiaga urusi kwa siraha unafikiri nchi zingine hawatengenezi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubora wamakampuni husika wala sinashaka nao ila ishu nzima ilikua nikiwanda ama viwanda gani ambavyo US Anavyowakati huo huo RUSSIA Hana'Bongo tunayo Bongo movie kama US', Hollywood na bongo movie wapi na wapi! Nadhan umenielewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Eedogan hatakaa aamue kuingia full war na SYRIA Labda Kama Atahakikishiwa Na RUSSIA Yakwamba Wao Hawatahusika Na Lolote Ila Uwepo wa RUSSIA tu Ndio Unamtia Woga Ila Kama Ingekua Wanasimama SAA Ningekwambia Kweli TURKEY wataingia Wazima Wazima Ila kwauwepo wa TURKEY Hawatakaa Wajaribu Kuingia Mazima Maana Watakua Wanajitoa KafaraErdogan hajaamua kuingia full fledged war na Syria.Siku akiamua nafikiri mazingira ya vita yatabadilika kabisa...Watu wanawachukulia powa sana Uturuki..
Taifa lolote Liwe RUSSIA kama walivyofanya AFGHANISTAN Liwe US Kama Walivyofanya IRAQ LIBYA SYRIA SOMALIA(1990s)9 AFGHANISTAN Nakwengineko Ama Taifa Lolotejamaa kasema Uwepo wa Urusi Syria ni mkakati kijeshi,ilo la kualikwa ni jambo jingine.
sasa kama ni mkakati wa kijeshi,Marekani nae anajeshi na ana mikakati yake pia,sasa kwanini marekani Akifanya hivyo Anaitwa jina tofauti na wengine?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nawe...mbona jamaa kakujibu vivlzuri tu.....usiulize kuhusu aina ya simu muulize kama wanatengeneza cm??I knew you gonna answer like this.
Nakurudisha nyuma ulisema hivi
Swali langu liko palepale Mrusi anakiwanda cha iPhone? Mchina anacho
Herufi kubwa zimepotelea wapi!?karibu samaki samaki jioni acha kupanic na njaa zako,njoo mlimani city baadae utanikuta caunta acha maneno mengi,mstari mmoja unajibu na paragraph nzima?
. Akikujibu ni_tag tafadhali.hapa bongo_tZ taja vitu vya mrusi dukani
Wa Russi sio wajinga kiasi hicho,hizo S400 ziko versions nyingi sana kuna version wanazotumia wao na kuna "EXPORT VERSION" wanazo uza nje 😀 😀 😀 zipo tofauti zina share jina tu na magari ya kubeba! ni sawa na namna marekani anavyouza zile ndege zake za kivita F16 zipoversions mbali mbali versions za kisasa anakaa nazo mwenyewe,kwahiyo hizo Radar anazoziuza nje ni versions ambazo zina manufaa zaidi kwao kuliko kwa uturuki,wana akili sana hao sio mazoba kama sisi huku
Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.
Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi muda sio mrefu.
S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya.
Hili ni kosa kubwa la Urusi dhidi ya Mataifa ya Magharibi ni mafanikio makubwa kwa Marekani.
Si kweli kwamba zaidi ya 70% ya zana za JW ni za Kirusi kwa sasa. JW ina zana kutoka mataifa mbalimbali tena hasa China kuliko Urusi. Ukweli ni kuwa, bidhaa za Kirusi ni adimu sana kwa sasa nchini Tanzania.Unapomwona mtu anasema haoni bidhaa za mrusi kisa haoni chupi, leso, soksi kutoka urusi muonee huruma mwambie kuwa VIFAA VYA JWTz more than 70% ni russian brands, wakati wewe ukiona malori kama MAN (US brand), scania na volvo from sweden, Fiat & IVECO from Italy etc etc Ukienda jeshini si rahisi kukuta vifaa vya brands za hizo nchi.
Vifaru vingi vilivyopo ni vya mrusi akifuatia china, Bunduki nyingi ni Russian made eg AVTOMAT KALASHNIKOV (AK 47) hizi bunduki hata wajeda wa NATO wanaipenda sana na kuitumia, ndege vita nyingi tulizo nazo ni Russian brand eg Mikhail Gurevich (MiG) tena sisi hatuna brand zile kubwa.
Russia ndiye muuzaji wa silaha kubwa duniani baada ya Marekani, wazo la kuundwa kwa Umoja wa kujihami wa nchi za magharibi yaani NATO ulitokana na kukabiliana na nguvu za DUBU (RUSSIA) kipindi hicho ikifahamika kama USSR na hii ilitokana na vita ya pili ya dunia ambapo ubabe wa Hitler ulihitimishwa na Mrusi hadi ujerumani kugawanywa katikati Reffer movie iitwayo Enemy at the Gates.
Sijawahi kusema kama Wengine hawatengenezi ila nasema wanasilaha bora
Ila wewe ulisema Yakwamba RUSSIA Hana Viwanda Ama Makampuni Ya Starehe Na Burudani Ndio Tunapopingana Hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipotolea mfano wa holiwud ulikua una maanisha nn wakati mada ilikua ikiendelea nikwamba hakuna kiwanda ambacho kinapatikana US Halaf kikosekane RUSSIAOnyesha niliposema Russia hana makampuni ya burudani. Unakuwa mnazi hadi unalisha watu maneno! Haya onyesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
tupe na link ya habari yako maana ninavyojua mimi china ni mtu wa 5 kwenye kuuza silaha.wa kwanza USA ambaye anauza asilimia 34 ya silaha zote duniani,wapili URUSI yeye anauza asilimia 22 ya silaha zote duniani. Huyo China hata asilimia 6 ya mauzo ya silaha duniani ajafikisha.wewe unasemaje China ni Wa pili?.Si kweli kwamba zaidi ya 70% ya zana za JW ni za Kirusi kwa sasa. JW ina zana kutoka mataifa mbalimbali tena hasa China kuliko Urusi. Ukweli ni kuwa, bidhaa za Kirusi ni adimu sana kwa sasa nchini Tanzania.
Idadi kubwa hivi sasa ya zana za JW ambazo ni common hususani magari makubwa ya kijeshi, malori n.k. utakutana na brands kama Ashok Leyland kutoka India bila kusahau Iveco kutoka Italia. Very common!
Upande wa bunduki pia ni kutoka mataifa tofauti tofauti kama vile Ujerumani, Israel, Urusi n.k.
Kuhusu ndege, vifaru n.k napo kwa kiasi kikubwa ni kutoka nchini China.
Kwa sasa, China ni nchi ya pili na imekwisha izidi Urusi kwa uuzaji wa silaha duniani kulingana na utafiti mpya wa Stockholm International Peace Research Institute (SIPRI) wa mwaka huu.
Sawa Mkuu,lakini huoni kama Uturuki akiwakaribisha maadui wa Urusi wenye uwezo kama USA,UK na Israel wakaichunguza hiyo mitambo halafu wakaenda kutengeneza silaha mpya au kuboresha silaha zao ili ziweze kuipenya S400.Huoni watakua wameharibu au kuua soko la S400?Wa Russi sio wajinga kiasi hicho,hizo S400 ziko versions nyingi sana kuna version wanazotumia wao na kuna "EXPORT VERSION" wanazo uza nje 😀 😀 😀 zipo tofauti zina share jina tu na magari ya kubeba! ni sawa na namna marekani anavyouza zile ndege zake za kivita F16 zipoversions mbali mbali versions za kisasa anakaa nazo mwenyewe,kwahiyo hizo Radar anazoziuza nje ni versions ambazo zina manufaa zaidi kwao kuliko kwa uturuki,wana akili sana hao sio mazoba kama sisi huku
Nilicomment Entertainment industry ya US ni zaidi ya viwanda vyote Russia, Hollywood ilikuja baadae kama mfano wa entertainment, so kwa uelewa wako hapo nilisema Russia hakuna entertainment?!Kuna muda sio lazma kusema hapana ili kuashiria kukataaUlipotolea mfano wa holiwud ulikua una maanisha nn wakati mada ilikua ikiendelea nikwamba hakuna kiwanda ambacho kinapatikana US Halaf kikosekane RUSSIA
Ama Ulikua Namaana Gani Kuihusisha RUSSIA naholi Wood Wakati Mjadala Ulikua Unahusiana Na Viwanda Ambavyo Vipo US Halaf Wakati Huo Huo Hakipatiki Ama Havipatiki RUSSIA Ukatolea Mfano Holly Wood Nikakujibu RUSSIA Hawana Holiwudi Ila Wana taasisi yao ambayo ina run masuala mazima ya sanaa na burudani ijapokua haina umaarufu kama ilivyo ya US
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja haikua ubora wala uduni waviwanda husika hoja ilikua upatikanaji wakiwanda husika ndani yataifa husika ambalo lilikua RUSSIANilicomment Entertainment industry ya US ni zaidi ya viwanda vyote Russia, Hollywood ilikuja baadae kama mfano wa entertainment, so kwa uelewa wako hapo nilisema Russia hakuna entertainment?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina mtizamo mkuu Mimi huwa napitia pitia maoni ya watalaamu tuHa ha hahaha hela nitoe wapi Mkuu!?
Nimetoa mtazamo wangu tu.Humu JF Kuna wataalamu wa kila fani.nilijua tu kuwa Kuna watu wataniondolea kiu ya maoni yangu.
Nipe Nondo zako Mkuu.
Ila bado Nina wasiwasi huko the dako hii Vita itachukua sura mpya,NATO wamekutana kujadili hatima ya mwanachama wao.Turky.Na Turkey amekwisha fungulia wakimbizi wameisha Anza kuingia Bulgaria.Europe wameanza kutafakari Jambo hilo.lnawezekana NATO wasiingie kijeshi lakini vipi wakimpa Turkey sophisticated weapons kumpiga Urusi Hali itakuaje?
Umeandika nini hiko manukta nukta mbona mengiWewe nawe...mbona jamaa kakujibu vivlzuri tu.....usiulize kuhusu aina ya simu muulize kama wanatengeneza cm??
Sent using Jamii Forums mobile app