Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

Plz repost your thread again maana labda umeandika kwa kutokuwa na taarifa kamili za dunia inavyokwenda hasa kwa hizi nchi kubwa kama urusi na marekan

Kwa kukuusaidia tu,hakuna hasara ila mrusi ni nchi hatari sana kijeshi kwa karne ya sasa.masrah yake ni makubwa na hata mmalekan mwenyewe anamwogopa..
Ukitaka kujua fuatilia vita vya syria namna vinavyoendeshwa
 
Urusi yawaonya tena Uturuki iondoke kwenye mipaka ya Syria na Warudi kwao Uturuki kuna mashambulizi anataka kufanya Russia mwenyewe, taari Su-25 kama 30 zinajitaarisha na mashambulizi

#BREAKING: Minutes ago, #Russian officials warned #Turkish government to not have #Turkish Army troops outside their observation posts in #Idlib, #Syria because they will be targeted by #Russia Air Force!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
France aliiuzia Argentina makombora ya Exocet ya kutungua meli. Argentina ilivoingia vita vya Falkland na Uingereza, France akazuia kutoa codes za makombora na hivo hayakutumika zaidi.
Iran kipindi cha Shah iliuziwa F-14 Tomcats, mapinduzi ya kiislamu yalivyotokea ikazuiliwa kupata supply na maintenance. Hata kwenye vita na Iraq ilishindwa kuzitumia ipasavyo.

Mfano S-400 inabidi uwe unanunua yale makombora yake kutoka Urusi sasa ukivurugana nao watakuuzia vipi. Na pia Turkey anajua kuwa NATO hawatompa air defence system hivyo hawezi kucompromise system za Russia, najua lazima kwenye mkataba wa kuuziana kuna makubaliano ya kuzuia system hiyo usikaguliwe na wengine.
Na ikumbukwe silaha zinazouzwa zinakuwa ni export version ya silaha inayotumika na nchi. Kwahiyo kuna tofauti kidogo kwenye mifumo.

Mwisho kabisa. Wakileta jeuri hizo batteries zitaharibiwa na jeshi la Urusi lenyewe, kinyago ukikichonga wewe hakikutishi.
 
Basi atajinyea ndani ya kaptura sababu US walimwambia asijikombe kwa Putin akabisha sasa anaona Russia wamemgeuzia kibao analia lia anataka US wamsaidie tena.
 
Hizo makombora zinaself destruct ukipiga spana baadhi ya maeneo.
 
Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.
Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi mda sio mrefu.
S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya.
hili ni kosa kubwa la Urusi dhidi ya West.ni mafanikio makubwa kwa US.
Hahahaha nimecheka Sana ...yaani ndugu yangu unadhani Russia hawakuliona Hilo ??? Dah
 
France aliiuzia Argentina makombora ya Exocet ya kutungua meli. Argentina ilivoingia vita vya Falkland na Uingereza, France akazuia kutoa codes za makombora na hivo hayakutumika zaidi.
Iran kipindi cha Shah iliuziwa F-14 Tomcats, mapinduzi ya kiislamu yalivyotokea ikazuiliwa kupata supply na maintenance. Hata kwenye vita na Iraq ilishindwa kuzitumia ipasavyo.

Mfano S-400 inabidi uwe unanunua yale makombora yake kutoka Urusi sasa ukivurugana nao watakuuzia vipi. Na pia Turkey anajua kuwa NATO hawatompa air defence system hivyo hawezi kucompromise system za Russia, najua lazima kwenye mkataba wa kuuziana kuna makubaliano ya kuzuia system hiyo usikaguliwe na wengine.
Na ikumbukwe silaha zinazouzwa zinakuwa ni export version ya silaha inayotumika na nchi. Kwahiyo kuna tofauti kidogo kwenye mifumo.

Mwisho kabisa. Wakileta jeuri hizo batteries zitaharibiwa na jeshi la Urusi lenyewe, kinyago ukikichonga wewe hakikutishi.
Erdogan na kiburi chake chote kwa sasa yupo viganjani mwa Putin.
 
Back
Top Bottom