Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

kendy

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
296
Reaction score
564

Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.

Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi muda sio mrefu.

S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya.

Hili ni kosa kubwa la Urusi dhidi ya Mataifa ya Magharibi ni mafanikio makubwa kwa Marekani.
 
MKUU Kwan Unahisi Wakati RUSSIA Anayauza Hayo Ma S Hakujua Kama TURKEY Ni Mwanachama Halali Wa NATO !?

Jamaa Walitazama Mpaka Kesho Kutwa Yao Kabla Yakufikia Maamuzi Yakuyauza Hayo Madude

Wafanye Watakavyoyafanya Wakiamuliwa Kuchapwa Wanachapwa Mpaka wanakaa Pembeni[emoji4][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPO UNAKUTA YUKO HOI BIN TAABANI HATA PESA YA KULA HANA MFUKONI LAKINI ETI ANACHAMBUA MAMBO YA URUSI
 
Mbona Syria zipo na Israel wana piga wapendavyo.
 
Wasipouza silaha na mafuta nini tena wanacho cha kuuza
 
HAPO UNAKUTA YUKO HOI BIN TAABANI HATA PESA YA KULA HANA MFUKONI LAKINI ETI ANACHAMBUA MAMBO YA URUSI
Vijitu vingine bwana,yani hapo wewe nae eti umechangia,waswahili ndio maana huwa tunashindwa maswali mepesi tu.umeonesha jinsi ulivyo kilaza.
hivi mimi na wewe nani yuko hoi?kwanza umetumia herufi kubwa isivyostahili,pili umeonesha ujinga wako hadharani kwa kuhusisha fedha na maoni.sasa mtu kutokua na fedha kunamzuia kutazama Al jazeera,au Press TV,au RT,au kusoma Sputnik news,au kusoma habari kupitia Mitandao mbalimbali?
Kati ya mimi na wewe nani yuko hoi? kama mimi niko hoi mfukoni,wewe uko hoi kichwani.
kuna watu wengi hawana hela ya kula lakini kupata habari hawakosi elewa wewe kilaza.
hata hivyo kwa ujinga wako umewezaje kujua kuwa mimi niko hoi,hunijui wala sikujui,hujui niko wapi na ninafanya nini.
Kuchambua mambo ya Urusi wewe kwenu unaona ni Big Deal.?
Hata wazee vijijini wanakaa chini ya mwembe wanasikiliza BBC,DW,VOA,France,etc.
Kwanza napoteza mda wangu kujibizana na wewe usikute tayari ushavuta Ugoro.
 
karibu samaki samaki jioni acha kupanic na njaa zako,njoo mlimani city baadae utanikuta caunta acha maneno mengi,mstari mmoja unajibu na paragraph nzima?
 
Urusi wanazungumzia S500..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…