Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Asilimia 80 ya jf members ni majobless so mkuu usiwaze haupo peke yako ni vyenye hatusemi endelea kukaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika yote uliyoandika sijaona mpango kazi wa kuwekana sawa na Mungu wako, yeye ni chanzo cha kila kitu kwako, he can restore anything you lost, tafuta ibada, shiriki ibada, fanya maombi, jichanganye na waliofanikiwa, kama upo dar......twende kwa Pastor Tony ijumaa kwa mkesha.Ninayoyaandika hapa ni ya ukweli na nahitaji kuambiwa ukweli na kusaidiwa achana na nyuzi zangu za nyuma dili na huu uzi tu ili kuepusha maswalimaswali mengi
Mimi ni binti wa miaka 25.. ni wa mwisho kwa mama yangu.. nikiwa na miaka 5 nilipelekwa kulelewa na mama wa kambo mpk mzee wangu alipoaga dunia.. maisha niliopitia ni mabaya ya kulelewa na mama wa kambo yule mama alikuwa na Roho mbaya sana
Simchukii mama yangu lakini Kuna wakati nikiwaza Naona kama akunitendea vyema kunipeleka kwa baba angu na yeye kwenda kukaa kijijini kwao mimi huku akiniacha nateseka nina amini kuwa alitaka tu kumkomoa mzee na mwanamke wake… niseme tu niliteseka sana mpk mzee akaamua kunipeleka shule ya bweni ili kupunguza manyanyaso… nilinusurika mpk kubakwa nikiwa mdogo sana
Baada ya mzee kufariki mama alikuja kunichukua maisha rasmi ya kuishi na mama yakaanza.. mama ni mtu wa kanisani kanisani yaani mlokolee kwaiyo na sisi tumekulia hukohuko kanisani.. mpk namaliza kidato cha nne nilikuwa bado ni binti mzuri wa kanisani sijui chochote kuhusu ulimwengu… Mungu saidia nikaenda 4m5 na 6 nikiwa 4m6 ndio kupata Kijana mlokolee mwenzangu ila hatukulast aliniacha nikiwa mwaka wa kwanza chuo… yaani iliniharibu kisaikolojia sana maana nilikuwa nikimpenda mno.. japo hatukuwai kusex but ni ule upendo tu.. nilianza kuwa na mahusiano na watu tofauti tofauti ili kumsahau ambacho nilikuwa sikifanyi na hao wanaume ni sex kwakuwa bado nilikuwa na ule msimamo wa kilokole
Nasema ukweli mbele za Mungu mimi mpaka ninamaliza chuo kikuu mwaka wa 3 sikuwai kufanya sex kabisa nilimaliza nikiwa bikira.. huzuni ni kuwa alienitoa bikira ni mume wa mtu ambae anataka kunioa mpk sasa mke wa pili ndoa ya kiislam ( huyu nilikutana nae nikiwa nimemaliza 4m6 akawa analazimisha kunioa nikakataa ndio akaoa mke mwinginee,, nilikataa kwasababu sikuwa tayari kubadilisha dini)
Baada ya kupoteza usichana wangu safari ilianza upya.. kuna Kijana nilikuwa nae yeye tulikuwa tunawasiliana kwenye simu sikuwa nimemtilia maanani sana na tulifahamiana nikiwa bado nipo mwaka wa 3 alikuwa nnje ya nchi hivyo kwangu niliona kama tunapotezeana muda inawezekana kaacha mtu wake bongo halafu ananipotezea mimi muda, kumbe Kijana alikuwa ana maanisha (baadae alikuja kuwa ndio mchumba)
Nakumbuka ilikuwa mwezi wa 11 nasubiri kufanya mahafari nikiwa mkoa X nilienda kufanya sup nikasubiri na mahafari.. nilikuwa sina hela kabisa ya kufanya home walituma 50k ambayo yote nililipia Joho tu na mashoga zangu ndio walinilazimisha nifanye graduation wakanipa na nguo zao na viatu vingine wakasema nipambane nipate.. Hii graduation nafiriki ndio maisha yangu yalianza kuharibikia hapa
Kuna Kijana nilikutana nae huko nilipofikia nikiwa nasubirii graduation alinivutia tukajikuta ndani ya wiki 1 tumetongozana na tumekulana siku hiyohiyo nikabeba ujauzito wake.. sijui Mungu alitaka kuniumbua maana yule mwanaume alienitoa bikira tulifanya nae mara moja tu na hakunimwagia manii yake ndani alimwaga nnje.. ili huyu wa pili alimwagia ndani na mimba siku hiyohiyo
Baada ya kugundua hilo mwenzangu hakuwa na shida akakubali kulea ila home haswa mama yangu alikataa sana mpk kuwatuma Watu wake waje kunishawishi niitoe.. Hakuna aliekuwa upande wangu usipokuwa mwanaume tu ndio alinisapot.. nikiri tu ule ujauzito nilifanya abortion ikiwa na wiki 3 jambo ambalo linaniumiza mpk Leo
Nilifanya vile kwasababu mwanaume wangu yule wa nnje nilishaanza kumpenda na isitoshe tulishapanga akirudi tunapanga ndoa.. huyu Kijana nilieshika ujauzito siku nikimpenda hata kidogo na Kijana ambae tunaringana umri yaani ana mambo mengi kwaiyo isingewezekana mimi kufanya nae maisha
Baada ya hilo tukio kupitia mahaba na mchumba wangu yalinoga sana.. jamani ni mwanaume aliekuwa akinipenda mno mno Hakuna kitu nitake tikakosa..jambo lililofanya nikatulia nae.. kweli alirudi mipango ya ndoa ilianza lakini kama mjuavyo kitu unachokipenda sana hata hukipati [emoji24]Mungu alimchukua yule Kijana apumzike kwa amani
Baada ya kufariki kwake maisha yameanza upya upwekeupweke.. nikaanza tafuta kazi nakosa
Sasa kilichonileta hapa ni haya maisha nayopitia sasa
Mimi nikiomba kazi sipati nishafanya interview kama zote.. kinachoniuma zaidi niliitwa sehemu kama mbili kufanya kazi moja nilifanya kama wiki 1 mara ghafla boss hataki niendelee na kazi na Hakuna sababu ya msingi.. kazi ya pili nimeenda siku 1 na tulikuwa training ya mwezi 1 ghafla naambiwa nimesitishiwa mkataba
Kingine napata wanaume wa maana ila ghafla wanaondokaa… mpk kuna ndugu yangu nilikuta anachart na ndugu yangu mwinginee anamwambia mimi sina bahatii kama yeye… maana yeye kaolewa na mwanaume mwenye hela
Mama yangu nae amekuwa mtu wa kunisamanga kisa sina kazi mara aniambie nimerogwa ndio maana naachishwa kazi ama nikiomba sipatii ananiambia kuwa nilitamkiwa maneno mabaya na mama wa kambo ndio maana sifanikiwi … mimi nilishaacha kwenda kanisani tangu hayo matukio yatokee
Nawaza je ni karma hii baada ya kufanya abortion au nimelogwa ama ni maisha ya kawaidaa ambayo kila mwanadamu anapitia… maana nimeanza kujisikia vibaya kwa maneno anayonitamkia mama labda ni kweli nimerogwa
Mahusiano kwa sasa sina ila yupo Kijana ambae namuelewa ila sijui upande wake ila ningetamani huyu angekuwa wa mwisho kama nikiwa nae… nasema sina mahusiano nae kwasababu hajaniambia direct kama ananihitaji so na mimi nimebaki hapo aliponiweka
Kama Kuna mtu ana ushauri wa kiroho na wa kimwili anipe hapa nitoke kwenye hiki kifungo
Nimejaribu kuelezea story ya nyuma ili mwenye kutoa ushaurii aweze ku relate hizo dots maybe kuna sehemu nilipolegeza nikaanguka
[mention]Mshana Jr [/mention]
Naweza kukusaidia kulipa kisasi kwa huyo mamako wa kambo kwa manyanyaso uliyopitia. Atakufa kifo cha kawaida tu hakuna atakaye jua wala kukuhisi vibaya. Kama upo serious nicheki
Wewe si umetoa mimba umeua mtoto? Sasa unavyoambiwa ni laana unabisha nini? Unasema sex siyo kipaumbele chako nahuku umesimulia hapo kuwa ulikuwa na wanaume watatu, mmoja kujuana nae siku ya graduation akakulala siku hiyo hiyo? Unapewa ushauri uwaone wachungaji wakuombee unakaza kichwa, sasa Baki hapo hapo.Kuweni na busara jmn tusijazane imani potofu.. Kuna mtu Kaniambia Mimi ndio nimemuua mchumba angu kwasababu nina jini mahaba… naomba mniambie hapa dalili za mtu mwenye jini mahaba… maana mimi hata mambo ya ngono sio kipaumbele kwangu naweza date na nisiitaji sex wala sijawahi kuota ndoto za mapenzi… huo unabii nimeukataa
Wewe si umetoa mimba umeua mtoto? Sasa unavyoambiwa ni laana unabisha nini? Unasema sex siyo kipaumbele chako nahuku umesimulia hapo kuwa ulikuwa na wanaume watatu, mmoja kujuana nae siku ya graduation akakulala siku hiyo hiyo? Unapewa ushauri uwaone wachungaji wakuombee unakaza kichwa, sasa Baki hapo hapo.
Asante kwa kushiriki hadithi yako kwa uwazi na uaminifu. Maisha yako yamekuwa na changamoto nyingi, na ni kawaida kuhisi kuchanganyikiwa au hata kuamini kuwa unakumbwa na laana au karma kutokana na matukio ya nyuma. Hata hivyo, nataka nikupe mtazamo wa uhalisia na kukusaidia kuelewa kuwa bado kuna tumaini na nafasi ya kubadilisha maisha yako.Ninayoyaandika hapa ni ya ukweli na nahitaji kuambiwa ukweli na kusaidiwa achana na nyuzi zangu za nyuma dili na huu uzi tu ili kuepusha maswalimaswali mengi
Mimi ni binti wa miaka 25.. ni wa mwisho kwa mama yangu.. nikiwa na miaka 5 nilipelekwa kulelewa na mama wa kambo mpk mzee wangu alipoaga dunia.. maisha niliopitia ni mabaya ya kulelewa na mama wa kambo yule mama alikuwa na Roho mbaya sana
Simchukii mama yangu lakini Kuna wakati nikiwaza Naona kama akunitendea vyema kunipeleka kwa baba angu na yeye kwenda kukaa kijijini kwao mimi huku akiniacha nateseka nina amini kuwa alitaka tu kumkomoa mzee na mwanamke wake… niseme tu niliteseka sana mpk mzee akaamua kunipeleka shule ya bweni ili kupunguza manyanyaso… nilinusurika mpk kubakwa nikiwa mdogo sana
Baada ya mzee kufariki mama alikuja kunichukua maisha rasmi ya kuishi na mama yakaanza.. mama ni mtu wa kanisani kanisani yaani mlokolee kwaiyo na sisi tumekulia hukohuko kanisani.. mpk namaliza kidato cha nne nilikuwa bado ni binti mzuri wa kanisani sijui chochote kuhusu ulimwengu… Mungu saidia nikaenda 4m5 na 6 nikiwa 4m6 ndio kupata Kijana mlokolee mwenzangu ila hatukulast aliniacha nikiwa mwaka wa kwanza chuo… yaani iliniharibu kisaikolojia sana maana nilikuwa nikimpenda mno.. japo hatukuwai kusex but ni ule upendo tu.. nilianza kuwa na mahusiano na watu tofauti tofauti ili kumsahau ambacho nilikuwa sikifanyi na hao wanaume ni sex kwakuwa bado nilikuwa na ule msimamo wa kilokole
Nasema ukweli mbele za Mungu mimi mpaka ninamaliza chuo kikuu mwaka wa 3 sikuwai kufanya sex kabisa nilimaliza nikiwa bikira.. huzuni ni kuwa alienitoa bikira ni mume wa mtu ambae anataka kunioa mpk sasa mke wa pili ndoa ya kiislam ( huyu nilikutana nae nikiwa nimemaliza 4m6 akawa analazimisha kunioa nikakataa ndio akaoa mke mwinginee,, nilikataa kwasababu sikuwa tayari kubadilisha dini)
Baada ya kupoteza usichana wangu safari ilianza upya.. kuna Kijana nilikuwa nae yeye tulikuwa tunawasiliana kwenye simu sikuwa nimemtilia maanani sana na tulifahamiana nikiwa bado nipo mwaka wa 3 alikuwa nnje ya nchi hivyo kwangu niliona kama tunapotezeana muda inawezekana kaacha mtu wake bongo halafu ananipotezea mimi muda, kumbe Kijana alikuwa ana maanisha (baadae alikuja kuwa ndio mchumba)
Nakumbuka ilikuwa mwezi wa 11 nasubiri kufanya mahafari nikiwa mkoa X nilienda kufanya sup nikasubiri na mahafari.. nilikuwa sina hela kabisa ya kufanya home walituma 50k ambayo yote nililipia Joho tu na mashoga zangu ndio walinilazimisha nifanye graduation wakanipa na nguo zao na viatu vingine wakasema nipambane nipate.. Hii graduation nafiriki ndio maisha yangu yalianza kuharibikia hapa
Kuna Kijana nilikutana nae huko nilipofikia nikiwa nasubirii graduation alinivutia tukajikuta ndani ya wiki 1 tumetongozana na tumekulana siku hiyohiyo nikabeba ujauzito wake.. sijui Mungu alitaka kuniumbua maana yule mwanaume alienitoa bikira tulifanya nae mara moja tu na hakunimwagia manii yake ndani alimwaga nnje.. ili huyu wa pili alimwagia ndani na mimba siku hiyohiyo
Baada ya kugundua hilo mwenzangu hakuwa na shida akakubali kulea ila home haswa mama yangu alikataa sana mpk kuwatuma Watu wake waje kunishawishi niitoe.. Hakuna aliekuwa upande wangu usipokuwa mwanaume tu ndio alinisapot.. nikiri tu ule ujauzito nilifanya abortion ikiwa na wiki 3 jambo ambalo linaniumiza mpk Leo
Nilifanya vile kwasababu mwanaume wangu yule wa nnje nilishaanza kumpenda na isitoshe tulishapanga akirudi tunapanga ndoa.. huyu Kijana nilieshika ujauzito siku nikimpenda hata kidogo na Kijana ambae tunaringana umri yaani ana mambo mengi kwaiyo isingewezekana mimi kufanya nae maisha
Baada ya hilo tukio kupitia mahaba na mchumba wangu yalinoga sana.. jamani ni mwanaume aliekuwa akinipenda mno mno Hakuna kitu nitake tikakosa..jambo lililofanya nikatulia nae.. kweli alirudi mipango ya ndoa ilianza lakini kama mjuavyo kitu unachokipenda sana hata hukipati [emoji24]Mungu alimchukua yule Kijana apumzike kwa amani
Baada ya kufariki kwake maisha yameanza upya upwekeupweke.. nikaanza tafuta kazi nakosa
Sasa kilichonileta hapa ni haya maisha nayopitia sasa
Mimi nikiomba kazi sipati nishafanya interview kama zote.. kinachoniuma zaidi niliitwa sehemu kama mbili kufanya kazi moja nilifanya kama wiki 1 mara ghafla boss hataki niendelee na kazi na Hakuna sababu ya msingi.. kazi ya pili nimeenda siku 1 na tulikuwa training ya mwezi 1 ghafla naambiwa nimesitishiwa mkataba
Kingine napata wanaume wa maana ila ghafla wanaondokaa… mpk kuna ndugu yangu nilikuta anachart na ndugu yangu mwinginee anamwambia mimi sina bahatii kama yeye… maana yeye kaolewa na mwanaume mwenye hela
Mama yangu nae amekuwa mtu wa kunisamanga kisa sina kazi mara aniambie nimerogwa ndio maana naachishwa kazi ama nikiomba sipatii ananiambia kuwa nilitamkiwa maneno mabaya na mama wa kambo ndio maana sifanikiwi … mimi nilishaacha kwenda kanisani tangu hayo matukio yatokee
Nawaza je ni karma hii baada ya kufanya abortion au nimelogwa ama ni maisha ya kawaidaa ambayo kila mwanadamu anapitia… maana nimeanza kujisikia vibaya kwa maneno anayonitamkia mama labda ni kweli nimerogwa
Mahusiano kwa sasa sina ila yupo Kijana ambae namuelewa ila sijui upande wake ila ningetamani huyu angekuwa wa mwisho kama nikiwa nae… nasema sina mahusiano nae kwasababu hajaniambia direct kama ananihitaji so na mimi nimebaki hapo aliponiweka
Kama Kuna mtu ana ushauri wa kiroho na wa kimwili anipe hapa nitoke kwenye hiki kifungo
Nimejaribu kuelezea story ya nyuma ili mwenye kutoa ushaurii aweze ku relate hizo dots maybe kuna sehemu nilipolegeza nikaanguka
[mention]Mshana Jr [/mention]
Huu ni ushauri mzuri sana. Mungu akubariki.Pole sana, kwanza toa mawazo ya kurogwa kabisa. Usiamini nafsini mwako. Pili unaweza omba toba kwa lolote unaloona umemkosea Mungu wako. Ukaomba kuanza upya maisha yako, tatu usiwekeze moyo wako au furaha yako kwa mtu mwingine.
Naona ushapenda tena, achilia kila kitu, rudi Kanisani kusali, omba ukiwa na amani na Imani. Anza upya kusambaza barua, kuomba vibarua. Nina Imani, maisha yako yatajikusanya upya, usikate tamaa angali u hai. Kila la kheri na Mwenyezi Mungu, akutangulie.
Acha ubishi, soma kutoka sura ya 20 mstari wa 5, kama wazazi wako walifanya makosa, laana inahamia hadi kizazi Cha nne, na hiyo laana ya kuua mtoto asiye na hatia, itaendelea kutafuna mpaka vitukuu vyako, unaua mtoto halafu utegemee Mungu akuache hivi hivi? halafu Mimi siyo nabii, na siyo lazima ufuate ushauri wangu, kama hutaki kutibu na kumrudia Mungu, akili zako zitakupeleka kwa waganga, huko ndo utaongeza laana zingine kwasababu ni madhabahu iliyo kinyume.Umeelewa nilichoandika au unaweka makasiriko tu.. Laana nani amenipa?? Kama wazazi wangu hawezi kunipa laana.. Mungu nae ana mambo mengi ya kufanyaa hatoitoi laana kwa mwanadamu… nyie manabii wauongo mje mniambie nina laana ili mninunulishe mafuta ya upako na michango ya sadaka… shindwaa Hakuna laana katika maisha yangu wala kizazi changu
Nina cousin wangu ana same scenario,Kama Kuna mtu ana ushauri wa kiroho na wa kimwili anipe hapa nitoke kwenye hiki kifungo
Nimejaribu kuelezea story ya nyuma ili mwenye kutoa ushaurii aweze ku relate hizo dots maybe kuna sehemu nilipolegeza nikaanguka
Amen, ahsante Mkuu n-propanol tubarikiwe sote 🙏Huu ni ushauri mzuri sana. Mungu akubariki.
Khaa aisee jaman tumefikia huku?Naweza kukusaidia kulipa kisasi kwa huyo mamako wa kambo kwa manyanyaso uliyopitia. Atakufa kifo cha kawaida tu hakuna atakaye jua wala kukuhisi vibaya. Kama upo serious nicheki
Umeshauri vizuri sanaAsante kwa kushiriki hadithi yako kwa uwazi na uaminifu. Maisha yako yamekuwa na changamoto nyingi, na ni kawaida kuhisi kuchanganyikiwa au hata kuamini kuwa unakumbwa na laana au karma kutokana na matukio ya nyuma. Hata hivyo, nataka nikupe mtazamo wa uhalisia na kukusaidia kuelewa kuwa bado kuna tumaini na nafasi ya kubadilisha maisha yako.
Kuhusu Maisha Yako ya Zamani
1. Uhusiano na Mama Yako: Ni kweli mama yako alifanya maamuzi ambayo kwa wakati huo yalionekana sahihi kwake, hata kama hayakuwa mazuri kwako. Hata hivyo, kumbuka kuwa wazazi pia ni binadamu na wana mapungufu yao. Inaweza kusaidia kujaribu kumsamehe na kuelekeza nguvu zako katika kujenga maisha yako.
2. Mimba na Abortion: Hisia zako za hatia ni za kawaida, hasa kama unajiona kuwa ulifanya kosa. Lakini maisha ni safari ya kujifunza, na hakuna mtu asiyekosea. Mwanaume aliyekupenda alikuwepo kwa wakati huo na alikusaidia kwa namna yake. Jikubali kuwa ulimfanya uamuzi huo kwa mazingira ya wakati huo.
Kuhusu Hali Yako ya Sasa
1. Kazi na Mahusiano:
Maisha yana vipindi vya kupanda na kushuka. Kukosa kazi au kuona mahusiano hayafanikiwi mara moja haina maana kwamba umeandikiwa maisha ya kutofanikiwa.
Inaweza kuwa kuna maeneo unahitaji kuboresha, kama vile ujuzi mpya wa kazi, kujituma zaidi au hata kujaribu sekta tofauti za kazi. Pia, mahusiano mazuri huja kwa wakati sahihi; usijilaumu.
Jihadhari na maneno hasi ya wengine. Mara nyingi watu huonyesha udhaifu wao kwa kukukosoa.
2. Maneno ya Mama au Wengine:
Si kweli kwamba laana au maneno mabaya ya mtu mwingine yanaweza kukufanya ushindwe maisha. Unaweza kuvunja mzunguko huu wa mawazo kwa kujikubali na kuendelea mbele.
Jaribu kumsamehe mama yako kwa semi zake; anaweza asiwe anamaanisha mabaya lakini anahofia kuhusu hali yako.
3. Kijana Anayeonekana Kukuvutia:
Ikiwa kweli unahisi kuna hisia kwa upande wako, zungumza naye kwa upole na uelezee unavyohisi. Usikubali kubaki kwenye hali ya kutokujua, kwani hilo linaweza kukwaza zaidi kisaikolojia.
Hatua za Kuchukua
1. Kibinafsi:
Tafuta msaada wa kiroho kutoka kwa mshauri wa kiroho au hata kasisi ikiwa uko tayari kurudi kanisani. Maombi yanaweza kusaidia kupunguza mzigo wa kihisia.
Tafuta njia za kujitunza: Fanya mazoezi, soma vitabu vya kujijenga kisaikolojia, na tafuta watu wanaoleta amani kwako.
2. Kazi:
Hakikisha wasifu wako uko vizuri, na jaribu kujifunza ujuzi mpya unaoendana na mahitaji ya soko. Tafuta mashirika au watu wanaoweza kukusaidia kuimarika kitaaluma.
Endelea kuomba kazi na kuwa tayari kwa kazi yoyote halali inayojitokeza. Matokeo yanahitaji uvumilivu.
3. Kisaikolojia:
Mtafute mshauri wa kisaikolojia ikiwa una nafasi. Mtu wa taaluma hiyo anaweza kukusaidia kushughulikia hisia za hatia, huzuni, na kukosa mwelekeo.
Kuwa na shukrani kwa hatua ndogo unazopiga kila siku. Shukrani hufungua milango ya baraka zaidi
Mwisho
Haya ni maisha yako, na bado una nafasi kubwa ya kuyabadilisha. Changamoto na maumivu ya nyuma hayapaswi kuwa kifungo cha maisha yako ya baadaye. Tafuta msaada kwa watu unaowaamini na uamini kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri tena. Naamini kuwa unaweza kufanikisha hili.