Kama Kuna msaada wa kiimani ama kisaikolojia naomba tafadhari kabla sijachanganyikiwa

nyakati ngumu zipo tena zina magumu ya kutetemesha .............usikate tamaa ...endelea kumwamini MUNGU.....usichoke kafuta kazi .......siku 1 utapata amini ivyo........i wish u all the best............"
 
Wale watoto wachanga wanakuwaga na laana mbaya ..ohoo! Wengi waliotoa mimba maisha yao ni ya hivyo hivyo tuu
 
Muone mtumishi anaitwa Emanuel Shemdoe atakusaidia kiroho namna ya kuikomboa nafsi yako
 
Funga fanya na maombi mami
 
Naweza kupata mawasiliano yako
 

Pole. Kwanza mrudie Mungu. Suluhu ya kwanza ni toba ya kweli.
Alafu mkabidhi Mungu maisha yako usiwaze hayo mengine.
Amani ya moyoni ukiwa salama mikononi mwa Mungu ni kitu cha muhimu kuliko kazi, ajira au mume.
Tunakosea sana wakati mwingine, kitu cha kwanza tunafanya cha mwisho na cha mwisho tunafanya cha kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…