Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #181
Yes,link hii uliyoitaja hapa haitoki Jeshi Marekani,lakini mbona ina prove kwamba Jeshi la Anga la Marekani linafanya geo-engineering.Ni mjinga tu na mwenye nia ovu anayeweza ku-deny this obvious truth.Na mbona thread iliyoko kwenye main thread inaonyesha they are doing it.Moja ya vitu vilivyoletwa hapa kama ushahidi ni hiki hapa chini
"The US has developed a type of weapon called High Frequency Active Auroral Research Programme. HAARP strikes the upper atmosphere with a focussed and steerable electromagnetic beam," Environment Minister Anil Madhav
Read more at:
Wewe mjuzi wa mambo hebu tueleze hapa, hii ndio tovuti ya jeshi la Kimarekani kama tulivyojuzwa awali?
"ni mengi tuliyaongea yalitimia na yanaendelea kutimia, na hata haya tuyaongeleayo yatatimia," Kwahiyo ndugu wewe nawe ni kati ya wale manabii?
"si ajabu watu bado ni vipofu wanafikra za kitoto kuzani kuwa dunia ni mahala salama" kama dunia si mahala salama wewe unayeona, na mkubwa mwenzetu hapa unaongea ukiwa mbinguni au sayari ipi hiyo? Dunia si mahala salama ndio. Je, wewe ndio umehatarisha huo usalama? Kingine kwanini bado unaendelea kukaa mahala ambapo si salama, hii sio kwamba ni hatari kwa afya yako ndugu?
Lakini,mbona yanaulizwa maswali mepesi sema majibu yanatoka ndio kazi kweli kweli.Kwa mfano,niliuliza Marekani akimaliza kuangamiza dunia yeye ataenda wapi? Jibu lake sasa," wewe sio target".Kwahiyo nyie wajuzi wa mambo mnajibu hivi siku hizi?
Finally,I am sorry I can't answer your many questions kwa kuwa si ya mtu anayetaka kujifunza.