Mathanzua mkuu hongera kwa uzi huu mzuri...
Sasa ngoja nijaribu kujazia nyama pale wewe ulipoishia na hapa ndio naanza....
Kwa kifupi swala la kutunza mazingira ni jambo Jema sn na ni zuri sn na ata Mungu alipomuumba Adam alimkabidhi bustani ya Eden kuilima na kuitunza....
Lkn Baada ya dhambi kuingia na Mungu kumwaga laana ktk ulimwengu basi kila kitu kilibadilika na majanga na mabadiliko ya hali ya hewa yakaaza kutokea taratibu....
Kwahiyo ktk ulimwengu Wa Leo.... Kutunza mazingira ni jambo zuri lkn sbbu ambazo zinazosemwa kuhusu uharifu wa mazingira ni za uongo..... Viwanda, magari, hewa ukaa na kukata miti na mambo mengi wanayosema wanasayansi ni ya uongo kabisa.....
Hizi sio sbbu.... Sbbu kubwa ya haya ni matokeo ya dhambi.
Lkn wanasayansi wanachofanya ni kutupoteza tusiwe ktk right track ya kuacha dhambi na kujiandaa na kuja kwa Yesu mara ya pili... Tukazane tu kutengeneza mazingira Huku tukijisahau juu ya maswala ya Mungu... Na mwishowe Yesu akija anatukuta sote hatuko tayari.....
Kwa kifupi hili swala la Climate Change ni la uongo na lilianzishwa na wanasayansi Wa kanisa la RC kwa lengo la kupitisha agenda zao ktk kuelekea kutawala hii dunia....
Next
[emoji116]