Kama kuna mtu ananufaika na huu uhai basi ni huyo aliyetuumba!

Kama kuna mtu ananufaika na huu uhai basi ni huyo aliyetuumba!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai.

Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata. Hivyo basi makusudi na faida za uhai anazijua mwenyewe aliyetoa huo uhai. Mbaya zaidi hakuna hata aliyeulizwa ikiwa anahitaji huo uhai ama lah!

Hii dunia inabidi turelax tu, ila hakuna anayejua makusudi ya kuumba binadamu, huu unaoitwa uhai kushukuru ni wendawazimu maana hata usipokufa leo utakufa kesho!
 
Back
Top Bottom