mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa hyo unataka uvute hewa bure.bilia kulipia?hataki hela yako.wewe muabudu ndo shukran kwakeHata kama ni kumuabudu, hiyo ni faida yake yeye wala sio sisi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo unataka uvute hewa bure.bilia kulipia?hataki hela yako.wewe muabudu ndo shukran kwakeHata kama ni kumuabudu, hiyo ni faida yake yeye wala sio sisi!
Poa mimi ningependa tukutaneHayupo kwa vile hakuna uthibitisho wowote ule wa uwepo wake.
Kama unajua yupo, Thibitisha uwepo wake.
Uthibitishe huo uwezekano wa kuwepo kwake.
Hata hapa tumekutana sema tu hatufahamiani kwa kuonana uso kwa uso.Poa mimi ningependa tukutane
unaweza kuona kua umefikiri na kuoata jibu kumbe ndo limit ya ufikiri ya binadamu inapoishiaHuyo Mungu alifanywa na nani?
Unalazimisha ulimwengu uwe umetengenezwa halafu una amini huyo Mungu alitokea tu from no where.
Kama haiwezekani ulimwengu kujiumba wenyewe, Pia hata huyo Mungu haiwezekani awepo tu mwenyewe pasipo muumbaji.
Kwa hiyo lazima uthibitishe huyo Mungu alikuwa wapi kabla ya kuumba mbingu na dunia.
Na huko alikokuwa kulitoka wapi na kuumbwa na nani?
Live kabisa maana wengi hawaaminiHata hapa tumekutana sema tu hatufahamiani kwa kuonana uso kwa uso.
Tumekutana kimaandishi kama wahenga walivyokuwa wanasema barua ni nusu ya kuonana.
Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kuniambia kama ambavyo sisi binadam tunafuga wanyama ili tuwale, au tunapanda mazao ili tuyatumie kama chakula, viwandan etc.... basi vivyo hivyo alieumba binadamu nae ana lengo lake ambalo linataka kufanana na hilo.Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai.
Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata. Hivyo basi makusudi na faida za uhai anazijua mwenyewe aliyetoa huo uhai. Mbaya zaidi hakuna hata aliyeulizwa ikiwa anahitaji huo uhai ama lah!
Hii dunia inabidi turelax tu, ila hakuna anayejua makusudi ya kuumba binadamu, huu unaoitwa uhai kushukuru ni wendawazimu maana hata usipokufa leo utakufa kesho!
Kwamba Mungu alipanga baadhi ya wanandoa wachepuke ili wazae nje ya ndoa ili azaliwe fulani? Na huyo Mungu kakataza zinaa? Kwani hakukuws na njia ya halali ya kuzaliwa bila zinaa nje ya ndoa? Pia Mungu huyo huyo alipanga baadhi ya wanawake wabakwe ili azaliwe fulani?Mipango ya mungu
Leviticus 24:16 the punishment for blasphemy is death.Nakwambia hivi Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
What you have is fear of unknown.
Kama hujui faida ya uhai ebu shika puwa na mdomo kwa dakika tano tuone. Kinacho kufa ni mwili ila uhai haufi . Uhai ni pumuzi. Pumzi ni upepo, upepo hauwezi kufa. Tire ya gari i inapo Pata pacha haimanishi upepo ulio kuwa ndani ya Tyre ume kufa . Huo upepo umehama tu .. hata uhai uko Kama upepo. Mwili ukipoteza uhai uhai haufi kinacho kufa ni mwili ,uhai unahamia kwingine . Hivyo kinacho faidi uhai ni mwili .. hivyo kazi yako ni kuutumia mwili ili ukihamia kwenye nwili mwigine uweze kuutumia vizuri zaidi bila kuutesa.Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai.
Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata. Hivyo basi makusudi na faida za uhai anazijua mwenyewe aliyetoa huo uhai. Mbaya zaidi hakuna hata aliyeulizwa ikiwa anahitaji huo uhai ama lah!
Hii dunia inabidi turelax tu, ila hakuna anayejua makusudi ya kuumba binadamu, huu unaoitwa uhai kushukuru ni wendawazimu maana hata usipokufa leo utakufa kesho!
Ndivyo mlivyo pumbazwa na maandiko uchwara kama haya.Leviticus 24:16 the punishment for blasphemy is death.
I am hard to that God and he cannot prove himself that he exists.Jeremiah 32:27 Behold, I am the LORD, the God of all flesh: is there any thing too hard for me?
Suala la kuishi ni mwaliko tu waweza kupokea au kukataa.Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai.
Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata. Hivyo basi makusudi na faida za uhai anazijua mwenyewe aliyetoa huo uhai. Mbaya zaidi hakuna hata aliyeulizwa ikiwa anahitaji huo uhai ama lah!
Hii dunia inabidi turelax tu, ila hakuna anayejua makusudi ya kuumba binadamu, huu unaoitwa uhai kushukuru ni wendawazimu maana hata usipokufa leo utakufa kesho!
Just relaxKuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai.
Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata. Hivyo basi makusudi na faida za uhai anazijua mwenyewe aliyetoa huo uhai. Mbaya zaidi hakuna hata aliyeulizwa ikiwa anahitaji huo uhai ama lah!
Hii dunia inabidi turelax tu, ila hakuna anayejua makusudi ya kuumba binadamu, huu unaoitwa uhai kushukuru ni wendawazimu maana hata usipokufa leo utakufa kesho!
GudiAnazijua yeye mwenyewe, kwani unapofuga ng'ombe anakuwa anajua faida zako za kumfuga?
Something imaginary can't be compared with reality.Jzui nimeangalia muvi Moja(ni animation) inatwa sausage Party,KAtika hii muvi sausage zilizokuwa zinaishi supermarket,pamoja na bidhaa nyingine....huku zilijiona kuwa ni spesho na zinapendelewa Kwa kuishi vyema bila kulipia pumzi.Ila wakawa wanaona Wenzao now and then wanaondoka na hawarudi wakawa wanajiuliza huwa wanaenda wapi?Sasa kwenye ile supermarket Kuna wazoefu ambao walikuwa muda mrefu na wameona mengi wakaanza kuwapanga wale madogo kuwa wanavyochukuliwa wanapelekwa sehemu yenye Bata zaidi ambapo huko ni full Body massage na kusip shampeni.Basi madogo wakawa excited pale wakisubiri kuja kuchukuliwa.
Siku imefika wakaona mtu kaingia na kapu kaanza kuwapakia tayari kuondoka nao.
Wakiwa wanadhani wanaenda kupewa Bata la maisha Yao mambo yalibadilika baada ya like kapu kushushwa jikoni.
Kwa kilichotokea tafuta muvi.