Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

Yaan unahoji CBG inampeleka wapi mwanafunzi?? Swali gani hili? Yaan mtu ana chemistry, biology na geography unauliza baada ya masomo anaenda kuwa nani??. Tanzania nchi yangu mbona unatoa uzao wa watu matahira kiasi hichi? Hivi kila aliesoma PCB anakuwa daktari? Au kila aliesoma PCM anakuwa engineer? combination ya mtu ndio muhimu Au masomo yanayounda combination?.
 
Akija Mwengine anazidudisha . Hapa tungefundishana kufuga Ng'ombe / kilimo mtu unabobea humo miaka Saba ha PhD nadhani tungekuwa mbali Sana kiuchumi. Yaan tusome Practical kwoledge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…