Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Habari zenu Wanajamiiforums.
Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.
Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa misikitini sijaona.
Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona.
Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa unafiki. Na nasikia pepo haihitaji unafiki, wala roho mbaya, Wala uchoyo, Wala kuhukumu watu, Wala kuonea watu, Wala kujiona msafi kuliko wengine.
Na kwa utafiti wangu Wanadamu wanafanana tabia Kwa 90%.
Asanteni.