Kama kuna pepo hakuna hata mmoja atakayeingia

Kama kuna pepo hakuna hata mmoja atakayeingia

Ivi Bado Kuna mtu anawaza akifa atafufuka Tena😂😂😂 UFE harafu ufufuke seriously...! Pepo IPO hapa hapa Duniani na moto upo hapa hapa Duniani believe it or not...!​
mtu wa namna hiyo haelewi kufa ni nini na mtu akifa ni vitu gani vinakuwa vimeacha kufanya kazi.

📌Ujinga ni mzigo imani ni madawa ya kulevya inapofusha ufahamu!!!
 
Kakudanganya mpumbavu gani ...neema ya mungu ni katika kusamehewa dhambi kwenye toba ya kweli...kwa sababu haki ya dhambi siyo kusamehewa bali ni kuadhibiwa.
Kumbe unaongelea “mungu”? Mimi nilimaanisha “Mungu”.
 
Mi naamini % 95 ya watanzania wataingia peponi. Hebu fikiria akina Daudi watu ambao waliuwa hadi wanajeshi ili wamiliki wake zao. Harafu wako wamehesabiwa haki. Fikiria akina paulo(sauli) tukiwakuta peponi unadhani kuna atakaye fail kweli. Akina Selemani kusawazisha kesi ndogo tu ya wazazi wawili kugombania mtoto ila wakaonekana wanabusara nyingi kitu ambacho hata makonda anafanya
 
Habari zenu Wanajamiiforums.

Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.

Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa misikitini sijaona.

Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona.

Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa unafiki. Na nasikia pepo haihitaji unafiki, wala roho mbaya, Wala uchoyo, Wala kuhukumu watu, Wala kuonea watu, Wala kujiona msafi kuliko wengine.

Na kwa utafiti wangu Wanadamu wanafanana tabia Kwa 90%

Habari zenu Wanajamiiforums.

Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.

Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa misikitini sijaona.

Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona.

Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa unafiki. Na nasikia pepo haihitaji unafiki, wala roho mbaya, Wala uchoyo, Wala kuhukumu watu, Wala kuonea watu, Wala kujiona msafi kuliko wengine.

Na kwa utafiti wangu Wanadamu wanafanana tabia Kwa 90%.

Asanteni.
Usiogope...Vitabu Vya Dini Vimesema Mwenyezi Mungu Upendo Wake Ni Infinity Kwahiyo Usije Shangaa Pia Siku Ya Mwisho Watu Wote Wakiongozwa Na Hitler Wako peponi
 
Kwenda peponi ili iweje? Kuimba tu na kumsifu Mungu?
Huo utakuwa ni utumwa
Basi hapo ndugu yangu itakuwa na kijumba au viwil na kausafir Kako unajiona umejipaaataaa mpaka unaanza kumkufuru Mwenyez Mungu.
Haya bana.
Na baada ya mm kuandika haya nasubiria kejel na matus...
Kila la heri
 
Mtu akiwa tajiri ndiyo anaacha kuamini uwepo wa Mungu?

Mimi sina gari, sina nyumba, wala sina kiwanja.
Sina afya nzuri n.k
Na pamoja na hayo yote siamini uwepo wa Mungu.

Vipi utabadili gia angani useme Mungu amenipa laana?

Wapo watu wanakesha makanisani na bado ni mafukara afadhali yangu mara mia.
 
Tuzidi kumtukuza Mungu
Habari zenu Wanajamiiforums.

Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.

Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa misikitini sijaona.

Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona.

Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa unafiki. Na nasikia pepo haihitaji unafiki, wala roho mbaya, Wala uchoyo, Wala kuhukumu watu, Wala kuonea watu, Wala kujiona msafi kuliko wengine.

Na kwa utafiti wangu Wanadamu wanafanana tabia Kwa 90%.

Asanteni.
 
Binadamu wema wenye roho nzur na wasio wanafiki walionyooka wapo ila ni wachache sana narudia tena ni wachache sana wenye karama hiyo.
Ila key word 'wapo' na tunaishi nao dunia hii
naungana nawewe ila sio wa kizazi hiki ni kizazi cha miaka ya 60 kuludi nyuma.
 
Habari zenu Wanajamiiforums.

Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.

Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa misikitini sijaona.

Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona.

Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa unafiki. Na nasikia pepo haihitaji unafiki, wala roho mbaya, Wala uchoyo, Wala kuhukumu watu, Wala kuonea watu, Wala kujiona msafi kuliko wengine.

Na kwa utafiti wangu Wanadamu wanafanana tabia Kwa 90%.

Asanteni.
Very good.
 
Haya ndiyo yale mapumbavu yanayo waambia watotowao kuwa mzazi ni mungu wa pili😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Lione, lucifer wewe.
Unanitafutia tu sababu nitende dhambi.
 
Warumi 11
5. Basi ni vivi hivi wakati huu wa sasa, yako mabaki waliochaguliwa kwa neema.
6. Lakini ikiwa ni kwa neema, haiwi kwa matendo tena, au hapo neema isingekuwa neema.
 
Sisi watu wa bara ndiyo huwa tunatumaini kwenda peponi kubarizi.Mtu wa pwani paradiso(peponi) hana ratiba kamili ya kwenda kubarizi maana ni karibu.Hili neno paradiso lina mzizi wa kutoka Uajemi likimaanisha mahali pa kubarizi na hii hutokea baada ya pilika za hapa na pale.Matunda ya kalamu yameumba taswira ya sehemu fulani tusiyoijua kwenda kubarizi kule Yerusalemu kwa watu wema .Waovu watatupwa jehanamu(ziwa la moto) pembeni na Yerusalemu.
 
Back
Top Bottom