Kama kuna pepo hakuna hata mmoja atakayeingia

Mungu wetu ni wa Neema. Hatutaenda mbinguni kwa sababu tunastahili bali ni kwa Neema Tu.
Hata kama tuna dhambi. Yeye ni Mungu wa Rehema, anaturehemu kila wakati.

Haya usiku mwema.
Wanadamu wote tunafanana .
Kwa tabia nilizozishuhudia kwa viumbe hivi niaminini Mimi kama Kuna PEPO kweli hakuna wa KUTOBOA.
 
Unaongea kwa mihemko mkuu, ukisema hakuna binadamu atakayeiona unakosea na wakat wapo binadamu wawili wawili kama sio watatu wanakula maisha huko, Eliya, Musa, Henoko, Ibrahimu, hao walikuwa malaika?
Hiyo pepo yenyewe ndonini??
 
Hiyo 10% iliyobaki niwe miongoni tafadhali.
Sun is Sun
Ni mara ngapi umemsemea mwenzako uongo? Ni mara ngapi mara ngapi umemhukumu mwenzako bila kujua chanzo cha anguko lake au matatizo yake?

Trust me asilimia 90% ya Wanadamu tunafanana tabia, Na kama kweli kuna pepo hakuna hata mmoja atakayetoboa.
 
Sawa mkuu.
 
Ivi Bado Kuna mtu anawaza akifa atafufuka Tena😂😂😂 UFE harafu ufufuke seriously...! Pepo IPO hapa hapa Duniani na moto upo hapa hapa Duniani believe it or not...!​
Labda upo sahihi. Fikiria na upande wa pili; kabla hujazaliwa, hukuwepo (mfano wake ndo tuseme ulikua mfu), kisha ukazaliwa kupitia hatua za ajabu - mbegu za uzazi (mfano wake ndo kufufuka).
Mfano mwingine, usiku unalala, hujitambui (mfu), asubuhi unaamka (unafufuka).
Hapo vipi?
 
Unaongea kwa mihemko mkuu, ukisema hakuna binadamu atakayeiona unakosea na wakat wapo binadamu wawili wawili kama sio watatu wanakula maisha huko, Eliya, Musa, Henoko, Ibrahimu, hao walikuwa malaika?
Kwa sababu yeye mshenzi anataka watu wote wawe washenzi,watakatifi wapi WALIKUWEPO na wataendelea kuwepo.
 
Labda upo sahihi. Fikiria na upande wa pili; kabla hujazaliwa, hukuwepo (mfano wake ndo tuseme ulikua mfu), kisha ukazaliwa kupitia hatua za ajabu - mbegu za uzazi (mfano wake ndo kufufuka).
Mfano mwingine, usiku unalala, hujitambui (mfu), asubuhi unaamka (unafufuka).
Hapo vipi?
Sidhani​
 
Mungu wetu ni wa Neema. Hatutaenda mbinguni kwa sababu tunastahili bali ni kwa Neema Tu.
Hata kama tuna dhambi. Yeye ni Mungu wa Rehema, anaturehemu kila wakati.

Haya usiku mwema.
Kakudanganya mpumbavu gani ...neema ya mungu ni katika kusamehewa dhambi kwenye toba ya kweli...kwa sababu haki ya dhambi siyo kusamehewa bali ni kuadhibiwa.
 
Mkuu kila moja atalichukua furushi lake! Katika Safari ya kwenda Peponi usimwangalie wala usijilinganishe na mtu wala watu!
Jilinganishe na Neno la Mungu zaidi itumie nafasi aliyotupa ya kutubu dhambi na kuziacha.
Kwa Wakristo msaada wetu watoka kwa BWANA Yesu,Huyo ndiye wa Kumwangalia katika Safari ya Kwenda Peponi,(Luka23:42-43)
(Yohana15:5-7)
 
Back
Top Bottom