Kama kuna pepo hakuna hata mmoja atakayeingia

Kama kuna pepo hakuna hata mmoja atakayeingia

Wana wa Mungu wote tutaenda peponi, mimi nimeumbwa na Mungu why nisiende? Nyie walimwengu tumalizane hapahapa duniani nikikuibia nami pia naibiwa, nikikunafikia mm pia nanafikiwa wakuu.

Njia ya peponi haipiti nyumbani kwenu walimwengu
 
Back
Top Bottom