Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Unaongea kwa mihemko mkuu, ukisema hakuna binadamu atakayeiona unakosea na wakat wapo binadamu wawili wawili kama sio watatu wanakula maisha huko, Eliya, Musa, Henoko, Ibrahimu, hao walikuwa malaika?Habari zenu Wanajamiiforums.
Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.
Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa misikitini sijaona.
Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona.
Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa unafiki. Na nasikia pepo haihitaji unafiki, wala roho mbaya, Wala uchoyo, Wala kuhukumu watu, Wala kuonea watu, Wala kujiona msafi kuliko wengine.
Na kwa utafiti wangu Wanadamu wanafanana tabia Kwa 90%.
Asanteni.
10% iliyobaki wataingiaNa kwa utafiti wangu Wanadamu wanafanana tabia Kwa 90%
Mi nina uhakika nitaingia hukoHabari zenu Wanajamiiforums.
Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.
Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa misikitini sijaona.
Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona.
Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa unafiki. Na nasikia pepo haihitaji unafiki, wala roho mbaya, Wala uchoyo, Wala kuhukumu watu, Wala kuonea watu, Wala kujiona msafi kuliko wengine.
Na kwa utafiti wangu Wanadamu wanafanana tabia Kwa 90%.
Asanteni.
Peponi Mtaenda kufanya nini mkuu?Mi nina uhakika nitaingia huko
Si wewe wa kwanza kushangaa, na bado utashangaa zaidi kuwa na subraIvi Bado Kuna mtu anawaza akifa atafufuka Tena😂😂😂 UFE harafu ufufuke seriously...! Pepo IPO hapa hapa Duniani na moto upo hapa hapa Duniani believe it or not...!
Kula upepo mwanana na malaika na watakatifuPeponi Mtaenda kufanya nini mkuu?
Sasa faida yake nini hapo?Kula upepo mwanana na malaika na watakatifu
Acha kabisa Wanadamu ni wanafiki sana hasa wale wasiochelewa kanisani siku za jumamosi na jumapili, PAMOJA na wale wa MISIKITINI.Hakika....ubatili mtupu
Wanadamu tupunguzeni unafiki.Ngoja tutaona