Money talks, Unaweza kutumia gari kijijini lakini service ukaifanyia ulaya.Mambo mengine ushamba tu unatusumbua watanzania na waafrica.
Kuna magari Ukinunua services yake ni kwa specialised dealers.
Ulete Bugatti Tanzania service unafanyia wapi kama sio kuchezea hela tu.
Lakini hawa watu wana hela za mchezo, acha tu.
Nimekwambia Dogo kaanza kuchezea Fedha tangu akiwa anasoma Feza elewa Kiswahili kwa hio yeye kuchezea hilo toy la billion 70+ kwake haoni tabuMambo mengine ushamba tu unatusumbua watanzania na waafrica.
Kuna magari Ukinunua services yake ni kwa specialised dealers only (ndio maana kuna nchi uzioni) sio kwamba hakuna watu hela ya kununua, issue inakuja kwenye upkeep.
Ulete Bugatti Tanzania service unafanyia wapi kama sio kuchezea hela tu, ndio maana hawayaendeshi sana hayo magari.
Lakini hawa watu wana hela za mchezo, acha tu.
Mwendo wa kuchezea hela tu unamwaga huku unamwaga kule wanaaokuingizia mafala fulani hivi kazi yao kutaabika na kulipa kodi kumanyokoMoney talks, Unaweza kutumia gari yako kijijini na service ukaifanyia ulaya.
View attachment 3455791
Agree, but isn’t that extravagant.Money talks, Unaweza kutumia gari yako kijijini na service ukaifanyia ulaya.
View attachment 3455791
Deal za serikali uwa zinaisha system ikibadilika.Nimekwambia Dogo kaanza kuchezea Fedha tangu akiwa anasoma Feza elewa Kiswahili kwa hio yeye kuchezea hilo toy la billion 70+ kwake haoni tabu
Ni nani huyo dogo?Nimekwambia Dogo kaanza kuchezea Fedha tangu akiwa anasoma Feza elewa Kiswahili kwa hio yeye kuchezea hilo toy la billion 70+ kwake haoni tabu
Acha uongo, kwa hiyo hata kama kaanza kuchezea fedha tangu wakati huo unamaanisha alikuwa anatunza kidogo kidogo Hadi akaweza kununua gari linalodaiwa kuwa na thamani hiyo?Nimekwambia Dogo kaanza kuchezea Fedha tangu akiwa anasoma Feza elewa Kiswahili kwa hio yeye kuchezea hilo toy la billion 70+ kwake haoni tabu
Hiyo ndiyo Ile huitwa ""MATAKO HULIA MBWATAA"Agree, but isn’t that extravagant.
Ndio maana hawa watu mirija yao ikikatwa wanawehuka.
Billionaire or multimillionaire mwenye biashara, hizo gharama kwake sio shida.
Lakini hiyo sio sustainable lifestyle ya mwanasiasa, hawezi mudu anasa hizo bila ya kuiba serikalini.
Sasa kwanini ununue magari kama hayo wakati misuli ya maisha hayo huna nje ya serikali kama sio ulimbukeni tu na ushamba.
Hawa watu wamekuwa na hela za mchezo mno.
Mbona Bakhresa, Rostam, GSM, Mo Dewji; hawana hayo magari.
Akili zetu zinatutosha wenyewe watu weusi.
Achana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama
Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine
ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu)
View attachment 3455762
Wananchi tunataka kujua source ya hizo Hela za mchezo. Ni pato halali, au ni pesa ya serikali inaibwa!Lakini hawa watu wana hela za mchezo, acha tu.
Kuna like hummer pickup jeupe umeme tupu siku hizi silioni tenaAchana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama
Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine
ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu)
View attachment 3455762
Kuna mtu humu kaandika ‘maskini akipata, makalio ulia mbwata’ huo ndio uhalisia.Wananchi tunataka kujua source ya hizo Hela za mchezo. Ni pato halali, au ni pesa ya serikali inaibwa!
Tulisikia kwenye uingizaji sukari kampuni zenye mtaji wa sh milioni kumi zikipewa kandarasi za mabilioni, hizi kampuni ni za kina nani?