Kama kuna ukweli kuhusu kuwepo kwa gari ya bilioni 70+ ndani ya TZ, basi kuna maswali mengi sana

Kama kuna ukweli kuhusu kuwepo kwa gari ya bilioni 70+ ndani ya TZ, basi kuna maswali mengi sana

Achana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama

Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine

ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu)

View attachment 3455762
Ni ujinga kwa kweli, gari kama hili la bilioni 70 unalinunua kwa misingi ipi kama si ujinga tu, barabara zenyewe hakuna ni mashimo tu. Waafrika kuna mahali vichwani mwetu fuse imeungua, kwa kweli tunajihaibisha bure kwa ujinga wa kujitakia.
 
Back
Top Bottom