MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
Nilipishana Nalo Dodoma certain days agoKuna like hummer pickup jeupe umeme tupu siku hizi silioni tennaa
Nilipishana Nalo Dodoma certain days agoKuna like hummer pickup jeupe umeme tupu siku hizi silioni tennaa
Habari za tajiri anazijua maskiniAchana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama
Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine
ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu)
View attachment 3455762
Pia ni gari zinatengenezwa kwa order maalum.Hiyo ni Rolls Royce wraith inaweza kufika 1b ama zaidi inategemea na mwaka. Ni tofauti kabisa na rolls Royce boat tail
Bakresa anamiliki BugattiFood for thought.
Kuna magari sio mass production, kuyapata ni mission hata kwa wazungu.
Mainly brand hizi Ferreri, Lamborghini, Bugatti na baadhi ya model za Rolls-Royce.
Mfano ‘Rolls-Royce Tail’; zipo tatu tu duniani na hiyo kwenye picha ain’t one.
Either way ukiona mtu ana Bugatti Tanzania chances are kainunua used, na bei aliyoinunulia ni zaidi ya bei aliyomuuzia aliyonunulia. They don’t make many Bugattis on each model.
Same with Ferraris and Lamborghini on some models.
Ukiona mtu ana Bugatti, Tanzania jua hizo ni level zingine; Ferrari 4x4 sio deal, Rolls Royce model zingine ni mass productions hata kama bei zake kubwa.
Lakini Bugatti sio gari la mzaha kabisa.
Mbona hamkumzungumzia kipindi hicho akajulikana?Dogo kaanza kuchezea hela kitambo sana tangu akiwa anasoma Feza
Aje Mbagala tumpige pass na Bajaji.Hiyo gari kuiendesha Tanzania kupishana na boda boda ni kuionea sana. Mwenye hiyo gari kama yupo Tz Ametenda dhambi
Hayo ni magari ambayo yakitengenezwa labda 300.Bakresa anamiliki Bugatti
Barabara zenyewe ni mashimo tupu afu eti unamiliki gari ya Bil 28 ikigonga mashimo.Mambo mengine ushamba tu unatusumbua watanzania na waafrica.
Kuna magari Ukinunua services yake ni kwa specialised dealers only (ndio maana kuna nchi uzioni hizo gari) sio kwamba hakuna watu wenye hela ya kununua, issue inakuja kwenye upkeep.
Ulete Bugatti Tanzania service unafanyia wapi Tanzania kama sio kuchezea hela tu, ndio maana hawayaendeshi sana hayo magari.
Lakini hawa watu wana hela za mchezo, acha tu.
exactly boat tail huku nyuma iko tofauti alafu yenyewe ni kama convertible.Hiyo ni Rolls Royce wraith inaweza kufika 1b ama zaidi inategemea na mwaka. Ni tofauti kabisa na rolls Royce boat tail
SwepttailAchana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama
Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine
ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu)
View attachment 3455762
Hahaha, umenikumbusha kuna jamaa mmoja miaka ya nyuma wakati tunajitafuta alipata kazi nzuri kweli, ikawa kila akipata deal ofisini anamuita rafiki yake/ndugu anamshirikisha na wanawekeza kwa ubia hiyo pesa aliyoipata.Barabara zenyewe ni mashimo tupu afu eti unamiliki gari ya Bil 28 ikigonga mashimo.
Badala ya kuiba then uwekeze hata kwenye uzakishaji wa mazao ya kilimo ukaajiri vijana wenzako we umashinda unazuzura mjini na hela kwenye begi.
Waafrica sisi ndiyo tulivyo kwa asili ya uumbaji - ni kama tulilaaniwa na Muumba. Ni wabnafsi, shida za mwezako unazifurahia.Hahaha, umenikumbusha kuna jamaa mmoja miaka ya nyuma wakati tunajitafuta alipata kazi nzuri kweli, ikawa kila akipata deal ofisini anamuita rafiki yake/ndugu anamshirikisha na wanawekeza kwa ubia hiyo pesa aliyoipata.
Sasa hivi ni mtu mzima, bado yupo kwenye hiyo kazi ila pesa akipata ni starehe na kujilimbikizia mali zake, yaani bora ahonge amtumie mwanamke atakavyo kuliko kuwekeza ili vijana wanufaike na uwekezaji.
Nadhani jamii yetu kuna tatizo pande zote, wanaofanikiwa na wenye uhitaji. Hili tatizo ndo linajenga tabia ya uchoyo na kujilimbikizia mali zisizo na manufaa kwa uma kama hayo magari.
Angalia tu hata bungeni, wapo mstari wa mbele kulilia wananchi wanyonge, sasa embu peleka pendekezo kuwa bajeti ya bunge ishushwe ili kuwekeza kwenye mitaji ya vijana na ajira uone balaa lake.
Hahahahaha. Utataka v8 kwanza.Waafrica sisi ndiyo tulivyo kwa asili ya uumbaji - ni kama tulilaaniwa na Muumba. Ni wabnafsi, shida za mwezako unazifurahia.
Hakuna nchi ya Africa iliyo na watu weusi ambayo haina matatizo kama haya.
Hata wewe leo ukikutana na Bil 70 sehemu zikawa zako utabadilika kuwa hivyo hivyo. Lazima breki ya kwanza ufike Toyota uvute Cluzer ya mil 500 akili ikae sawa. Hutaenda Uyole ukaombe hekari 1000 uanze kilimo cha Mpunga kwa njia ya kisasa na kuajiri vijana.