Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 Aug 28, 2025 #41 mkata uzi said: Achana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu) View attachment 3455762 Click to expand... Ni ujinga kwa kweli, gari kama hili la bilioni 70 unalinunua kwa misingi ipi kama si ujinga tu, barabara zenyewe hakuna ni mashimo tu. Waafrika kuna mahali vichwani mwetu fuse imeungua, kwa kweli tunajihaibisha bure kwa ujinga wa kujitakia.
mkata uzi said: Achana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu) View attachment 3455762 Click to expand... Ni ujinga kwa kweli, gari kama hili la bilioni 70 unalinunua kwa misingi ipi kama si ujinga tu, barabara zenyewe hakuna ni mashimo tu. Waafrika kuna mahali vichwani mwetu fuse imeungua, kwa kweli tunajihaibisha bure kwa ujinga wa kujitakia.