mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Kama ambavyo hakuna faida ya kuoa/kuolewa na ndivyo ilivyo kwa kutooa/olewa
Vilevile ndoa sometimes inaleta mikosiKutooa Faida yake nyingine ni Ubinafsi.
Mali ulizochuma ni zako tena hata mkiachana hamna haja ya kugawana.
Freedom unaweza fanya chochote
Hasara za kutooa/kuolewa.
Sometimes wengine hawafanikiwi mpk waoe. Ndoa sometimes ni baraka na inaleta mafanikio.
Huo mtazamo wake alouongelea ni kuhusu nini?Hoja nimeshaipinga tayari, sababu kiuhalisia hakuongelea juu ya faida bali mtazamo wake katika upande mmoja, hali ya kuwa si sahihi na akili inakataa.
Faida za ndoa nikikupa Kama una mwenza pasua kichwa hazina umuhimu zaidi utaona ni Mambo ya kufikirika.Ombi langu toka kwako ni kuwa naomba unipe faida za kuto kuoa na kutokuolewa.
Kutokuoa au kuolewa akajarubu kutuonyesha ya kuwa kuna natija.Huo mtazamo wake alouongelea ni kuhusu nini?
Haya ni matokeo kama yalivyo matokeo mengine, ila ndoa haina hasara zaidi ya faida.Faida za ndoa nikikupa Kama una mwenza pasua kichwa hazina umuhimu zaidi utaona ni Mambo ya kufikirika.
Kwanini ? Mbona wake zangu wana furahia sana kuolewa na mimi ?Hakika ni maumivu kila kukicha
Ngoja nikujibu kwa ufupi wenye kukidhi haja. Wake zetu wana akili sana, huwa wanagomba wanapo kuona unapoteza muda mwingi na marafiki kwenye hamna,hakuna mwanamke ambaye ana akili timamu, akishajua uko na watu makini na mnafanya mambo ya msingi akawa sababu ya wewe kupoteza marafiki zako. Wake zetu huwa wanachukizwa na sisi wanapo ona badala ya kurudi nyumbani tunaishia kwenye vijiwe na kupiga soga. Huu ni uzezeta.kuoa kunaweza kupelekea mahusiano yako na rafiki zako wa jinsiia tofauti kuwa na risk, watu waliooa au kuolewa kwa asilimia kubwa wame-loose interest katika maisha ya kijamii baada ya kufunga ndoa. simu za nyakati za usiku kutoka kwa marafiki zako hutazipata, wala mialiko ya party au dinner ambayo kwa asilimia kubwa itakuhitaji upate ruhusa kutoka kwa mweza ili aridhi
kwa tafiti za wanandoa zinaonesha kua watu hupoteza rafiki wa karibu pindi tu watapofunga ndoa
Ndoa inaweza kusababisha tabia hatari ya kumtegemea mtu mmoja kwa kila hitaji
ukiwa mwanandoa unaingia kwenye dhana ya mwili mmoja, bahati mbaya dhana hiyo haiishii hapo tu bali hufifisha ujasiri na kuimarisha uzembe wa kumtegemea mwana ndoa wako kwa kila kitu.
imagine mwanandoa wako unamtegemea yeye kuanzia ngono, company, mtunza fedha, mpanga bajeti, mshauri wako karibia kila kitu. jambo la kustaajabisha ni kwamba hii dhana huonekanna ni jambo zuri na romantic na ndio maana ni kawaida sana hata wasanii kuimba "youre my everything" kama dogo janja alivyoimba kisha baada ya kuoa siku kadhaa kupita akatemana na uwoya wakati ndiye kila kitu chake
watu waliooa mwisho wao hauwi na furaha kama ilivyo kua awali wakiwa single, kwa statistic za wanasaikolojia maana nyingi
Niwe mke wa tatu nimemkosea nini Mungu?Wewe si ulikataa kuwa mke wa tatu. Ila wenzako hawajutii kuolewa na mimi.
Mzima lakini bibie ? Kitambo sana.
Si ndiyo maana ukanikataa.Niwe mke wa tatu nimemkosea nini Mungu?
Umemjibu vizuri mkuu lakini hao marafiki lakini huwezi kua nao kila sehemu, mfano unakuta wewe mwanaume una interest za viti tofauti tofauti kamaNgoja nikujibu kwa ufupi wenye kukidhi haja. Wake zetu wana akili sana, huwa wanagomba wanapo kuona unapoteza muda mwingi na marafiki kwenye hamna,hakuna mwanamke ambaye ana akili timamu, akishajua uko na watu makini na mnafanya mambo ya msingi akawa sababu ya wewe kupoteza marafiki zako. Wake zetu huwa wanachukizwa na sisi wanapo ona badala ya kurudi nyumbani tunaishia kwenye vijiwe na kupiga soga. Huu ni uzezeta.
Automatically maisha unayo ishi kabla hujaoa lazima yabadilike baada ya kuoa. Sababu sisi ndiyo walinzi kwa wake zetu na watoto zetu, kwanza lazima turudi mapema nyumbani kwa ajili ya kusikiliza kesi mbali mbali toka kwa wake zetu juu ya watoto zetu au mfano wao.
Kadhalika ni uzwa uzwa una mke na familia unachelewa kurudi nyumbani kijinga jinga tu kisa marafiki, wewe utakuwa hujui vipaumbele.
Mpaka muda huu muda sijapewa faida ya kutokuoa wala kuolewa.
Swali la msingi ni kuwa je unapata faida gani unapo shabikia mpira na kupoteza muda katika mpira ? Jibu la haraka na usahihi ni kuwa hakuna faida unayopata ukishabikia mpira na kuangalia mpira zaidi ya kupoteza muda na hela.Mpira: hapa unaweza kukuta una urafiki mkubwa sana na mtu kwa sababu tu ya mpira labda mnashabikia timu moja, na kweli mkawa marafiki sana,, katika nyanja hii asimilia kubwa ya urafiki wenu utakua unahusu mambo ya mpira na vitu vingine vyenye kuelekea huko
Halafu mke wako akupangie kua achana na huyo rafiki yako kisa tu urafiki wenu haujengi kwa maana ya maono ya kutengeneza pesa n.k ,, huoni kama hapo pia ni kukosa uhuru?
Mpira ni burudani, mpira ni kama burudani zingine mfano mziki, kutazama movie na kuendelea.Swali la msingi ni kuwa je unapata faida gani unapo shabikia mpira na kupoteza muda katika mpira ? Jibu la haraka na usahihi ni kuwa hakuna faida unayopata ukishabikia mpira na kuangalia mpira zaidi ya kupoteza muda na hela.
Maana yake ni wajibu wako kumsikiliza mkeo katika hilo, sababu halina faida na wewe.
Uhuru usiyo na mipaka ni utumwa wa kujitakia. Hapo hakunyimi uhuru bali anakusaidia juu ya kuachana na vitu vya kipuuzi.