Hahahahaahuuuwi! Yaani unanivunja mbavu.Tunakutania dunia hii hii.Tangu nikiwa darasa la kwanza nilipoweza kusoma tu,nikajikuta napendelea kusoma magazeti, riwaya mbalimbali na vitabu mbalimbali.Lakini nimekuwa mfuatiliaji wa filamu mbalimbali hasa kihindi pale AVALON na EMPIRE.Hivi vitu mpaka leo nimekuwa navyo na vimenisaidia.Wifi yako ni mkurya na amenikuta hivyo ananipenda yaani daah,kuna vitu anavifanya siwezi tu simuliaWacha weeeeeeee,hivi nyie huwa mnakutana sayari hii hi au Mars?!Mimi Kuna wiki ambazo akizingua sifui kabisa namuacha atambue uwepo wangu,asubuhi Sasa anahaha kutafuta boxer na soksi,mimi Niko busy naimba kapambio kangu ka Mungu yu mwema,mchana utasikia nimekumiss!kanimiss au kamiss soksi na boxer?
Faida kuoaSisi waswahili tunasema uungwana ni vitendo na salamu kwa aliye mbali na wewe ni nusu ya kuonana. Nawasalimu kwa maamkizi yetu wote watoto na wavyele
Anuani ya mada yangu iko wazi na yenye kueleweka. Mwenye kujua ajitokeze atupe faida za kutokuoa na kutokuolewa
Ahsanteni sana.