kutooa ni unakua huruSisi waswahili tunasema uungwana ni vitendo na salamu kwa aliye mbali na wewe ni nusu ya kuonana. Nawasalimu kwa maamkizi yetu wote watoto na wavyele.
Anuani ya mada yangu iko wazi na yenye kueleweka. Mwenye kujua ajitokeze atupe faida za kutokuoa na kutokuolewa.
Ahsanteni sana.
Labda hatujui mambo yenye faida,japo ambalo halina faida katika afya ya akili yaki, mwili na mali yako halina faida kiuhalisia.Mpira ni burudani, mpira ni kama burudani zingine mfano mziki, kutazama movie na kuendelea.
Naomba nikuulize, wewe burudani yako ni ipi?
Hili tumeshalielezea huko nyuma.kutooa ni unakua huru
Mkuu wasiooa hawana uhuru,ni watumwa haoFaida ipo moja tu, Hii ni ya Kuto Kuoa : Freedom
Sijui upande wa pili mkuu!
Unamiaka mingapi sahizi?Maisha ni kuchagua,Mimi napenda kuishi maisha huru,nahis nisipooa nitaishi kwa amani sana na kwa starehe,Kuna zile unakutana na manzi mzuriiiiiiiiiiiiii afu anakushobokea mwenyew,ukiwa hujaoa unapitia fasta ila ukiwa umeoa unaanza kumuwazia mkeo,mi kuoa mpaka niwe na miaka 45
Hujampenda huyo! ukimpenda kumfulia utaona kama unafua vazi la Mungu vile.Faida ya kutoolewa Ni kutofua minguo ya mtu mzima mwenye mikono yake.
Sio uhuru ni utumwa huoMaisha ni kuchagua,Mimi napenda kuishi maisha huru,nahis nisipooa nitaishi kwa amani sana na kwa starehe,Kuna zile unakutana na manzi mzuriiiiiiiiiiiiii afu anakushobokea mwenyew,ukiwa hujaoa unapitia fasta ila ukiwa umeoa unaanza kumuwazia mkeo,mi kuoa mpaka niwe na miaka 45
Ha haaaa haaaa eti Mungu,we jamaa WeWe mbona umeongea Kama umekatwa kichwa?Hujampenda huyo! ukimpenda kumfulia utaona kama unafua vazi la Mungu vile.
30 yrsUnamiaka mingapi sahizi?
Kwa hiyo unamfulia mmeo huku umenuna,au ndo hata kumfulia kwenyewe humfulii? manake wanawake wa humu mh!Ha haaaa haaaa eti Mungu,we jamaa WeWe mbona umeongea Kama umekatwa kichwa?
Kwa hiyo unamfulia mmeo huku umenuna,au ndo hata kumfulia kwenyewe humfulii? manake wanawake wa humu mh!Ha haaaa haaaa eti Mungu,we jamaa WeWe mbona umeongea Kama umekatwa kichwa?
Nafua huku nimenuna!nguo avae Nani kufua afue Nani!Kwa hiyo unamfulia mmeo huku umenuna,au ndo hata kumfulia kwenyewe humfulii? manake wanawake wa humu mh!
Hahahahaaa,najaribu kuvuta hisia jinsi unavyokua pindi umebeba nguo za mmeo kwenda kuzifua napata picha matata sana.Nafua huku nimenuna!nguo avae Nani kufua afue Nani!
Wacha weeeeeeee,hivi nyie huwa mnakutana sayari hii hi au Mars?!Mimi Kuna wiki ambazo akizingua sifui kabisa namuacha atambue uwepo wangu,asubuhi Sasa anahaha kutafuta boxer na soksi,mimi Niko busy naimba kapambio kangu ka Mungu yu mwema,mchana utasikia nimekumiss!kanimiss au kamiss soksi na boxer?Hahahahaaa,najaribu kuvuta hisia jinsi unavyokua pindi umebeba nguo za mmeo kwenda kuzifua napata picha matata sana.
Wifi yako huku anapofua zangu anachukua fulana/shati suruali yangu anazivaa anafua zingine akimaliza ndio anavaa kanga kumalizia zile azozivaa.
MKIPENDANA hata huko peponi hamtaona haja ya kwenda
Kaka majibu yako yananifurahishaga kweliIkiwa hutaki kujaza dunia....
Sawa.Faida ya kutoolewa Ni kutofua minguo ya mtu mzima mwenye mikono yake.