Kama kuna yeyote anaeweza kunipa faida za kutokuoa au kutokuolewa ajitokeze

Baada ya watu kushindwa kutupa faida za kutokuoa na kutokuolewa. Naomba huu uzi ufungwe rasmi, ili tukajadili mambo mengine.

Ahsanteni sana wachangiaji wote.
 
Hahahahaahuuuwi! Yaani unanivunja mbavu.Tunakutania dunia hii hii.Tangu nikiwa darasa la kwanza nilipoweza kusoma tu,nikajikuta napendelea kusoma magazeti, riwaya mbalimbali na vitabu mbalimbali.Lakini nimekuwa mfuatiliaji wa filamu mbalimbali hasa kihindi pale AVALON na EMPIRE.Hivi vitu mpaka leo nimekuwa navyo na vimenisaidia.Wifi yako ni mkurya na amenikuta hivyo ananipenda yaani daah,kuna vitu anavifanya siwezi tu simulia
Ndio maana nikasema hujampenda/hajakupenda.Kama mngekuwa mnapendana hizo boxer na soksi ungeficha ila si kwa kumkomoa bali kucheza nae
 
Faida kuoa
1.kupata mahaba bila ya kuyatafuta mtaani

2.kupata watoto halali /familia ndani ya ndoa

3.kidhihirisha uwezo wako wa kumvumilia unayeishi naye

4. Kudhihirisha uwezo wa kutunza watoto na mama yao n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…